Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Wewe utapigwa hela shauri yakoSwali langu kubwa ni je information apo mabayo inaweza ikawa mbaya kwa upande wangu? Najua siwezi toa acc no, pesa wala info yoyote ya jwangu kuhusu pesa. Nikitoa info alizozitaka hapo juu kuna ubaya? Nataka nijue hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifurahi kihivyo maana yake wamechoka kukushauri muelekeo wako ni Kibra kuchinjwa kunakugonja we furahi tu
Hawezi kunipiga mkuu. Kama mtu anapigwa kwa kutuma namba ya simu, passport number, business plan hapo sawa, sio rahisi kama unavyowaza. Nishapitia sana misukosuko hii na sijapigwa.Wewe utapigwa hela shauri yako
Sasa mtu anapigwa kwa kutoa business plan, namba ya simu, na identity card number? Nimeuliza watu wengi wamesema hizo info hapo juu hazina madharaUsifurahi kihivyo maana yake wamechoka kukushauri muelekeo wako ni Kibra kuchinjwa kunakugonja we furahi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mnigeria Senegal sio mascammer
Kaka inaonekana wewe ni mgeni wa mambo ya utapeli wa mitandaoSwali langu kubwa ni je information apo mabayo inaweza ikawa mbaya kwa upande wangu? Najua siwezi toa acc no, pesa wala info yoyote ya jwangu kuhusu pesa. Nikitoa info alizozitaka hapo juu kuna ubaya? Nataka nijue hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo info ni hatari Kama ana mpunga wa kutosha jamaa atahamisha pesaHizo info hazina madhara yeyote....! Labda huko baadae kuna mahali atakupiga ila si kwa hizo info's
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie akutumie kwa BITCOINS uone atavokimbiaHuyo ni mwiz kutoka Senegal hata me kashanisumbua sana ananiomba account namba et anitumie japo pesa kidogo
Sasa mtu anapigwa kwa kutoa business plan, namba ya simu, na identity card number? Nimeuliza watu wengi wamesema hizo info hapo juu hazina madhara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndio nilikuwa nakihitaji. Info ya kupiga hela nitazijua tuHizo info hazina madhara yeyote....! Labda huko baadae kuna mahali atakupiga ila si kwa hizo info's
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote nafaham mkuu. Mimi nishatumiwa mpaka contract ya kupata kazi marekani baada ya interview. Nikaambiwa nifanye kitu kinaitwa security check-vetting ya securiy. Nikakatumiwa form kutoka USA inaitwa terrorist vetting. Baadae nikaambiwa nitume hela kwa ajili ya kucheki hii security. Nikawaambia kuna jamaa yangu yupo new york kwa hiyo wanielekeze hiyo ofisi yao ilipo ili jamaa yangu awepelekee hapo new york walipo. Jamaa wakaingia mitini. Of course nilikuwa nawadanganya nilikuwa sina mtu NYKaka inaonekana wewe ni mgeni wa mambo ya utapeli wa mitandao
Ipo hivi ataenda na wewe taratibu sana hadi mwisho utampa hizo bank details.
Sasa ipo hivi ukimpa jina na account namba kwa ukuaji wa technology anaweza kutengeneza kadi ya bank kwa kutumia hizo details na kuweza kuhack account yako halisi ya bank.
Vilevile anaweza kukuomba utume tranfer fees ili uingiziwe pesa, ukimtumia hiyo tranfer fees ujue umeshapigwa kaka.
Now days technology imekuwa sana ndio maana bank ukienda kutoa pesa kwenye ATM jitahidi ile lisiti ya kutoa au kuangalia salio unaichana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo info ni hatari Kama ana mpunga wa kutosha jamaa atahamisha pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nashangaa mkuu. Maana kwenye ma CV tunaweka contacts zote. Namba za simu, bix number na jina kamili na watu wanatuma ma cV mpaka ulayaAhamishe mpunga kwa kujua jina? No ya simu? Au proof of residence? Kama ingekua hivyo mbona watu tungekua tumepigwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Unajua yote hayo ulikuja kuuliza nini sasa?Ndio nashangaa mkuu. Maana kwenye ma CV tunaweka contacts zote. Namba za simu, bix number na jina kamili na watu wanatuma ma cV mpaka ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nataka kujua kwanini niombe kiongea nae kweny skype sio means nyingine labda
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ubongo wako unachelewa sana ku-load.Dah mkuu kuwa na idea. Nimeangalia code number ya simu yake ni ya italy. Simu yake ninayo
Sent using Jamii Forums mobile app