fomu ushachkua?ushajaza?ka vp ngoja niku PM joh
daah ki ukwel ifm kuna ukiritimba mkubwa na wizi mtupu...embu fikiria kuwa student id et buku 20000 whle vyuo vingne n buku 5 had 8..et registration n 50000 while vyuo vngne n buku 10 2...c wizi huu???
Mleta mada,
Katika vyuo vyetu hapa nchini, kuna baadhi ya vyuo vina mapungufu makubwa sana kwenye suala la usajili, ikiwemo IFM. Binafsi sikusoma pale, ila wadogo zangu waliosoma IFM walipitia hizi changamoto.
Jambo la kufanya kwa sasa ni kuongea na ndugu, jamaa na marafiki wakusaidie hiyo pesa kwa ajili ya usajili, na baada ya huo muda wa bodi kutoa pesa zako utarejesha kwa hao walio kukopesha. Hii ndio option nyepesi ambayo wengi waliitumia enzi hizo.
N.B: Inakupasa ujue bodi itakupa asilimia ngapi, tatizo lisije likawa maradufu. Kama utapewa 80%-100% itakuwa poa.
Achana nacho nenda jkt,af posho ya jkt i2nze uje uanzie nayo maisha kwenye hcho kjtaasisi uchwara cha Elimu.. Hv ifm ni chuo au Uchuro? Tafadhari naomba jibu.
Achana nacho nenda jkt,af posho ya jkt i2nze uje uanzie nayo maisha kwenye hcho kjtaasisi uchwara cha Elimu.. Hv ifm ni chuo au Uchuro? Tafadhari naomba jibu.
kama ifm sio chuo,ni nini?ili kitu au sehemu iitwe chuo inahitaji nin?tuambie kipi ni chuo na kipi sio chuo we much know................
Hahahha sasa ndugu yangu utabishana na watu wa aina hii mpaka.....kimya ni jibu tosha kwa mjinga....by the way mwenyewe nimekwama hapa natakiwa nilipe milioni moja na laki 2 ila mpaka sasa 0-0
IFM wanatoa ID kila semister ina maana utapewa ID 6 mpaka unamaliza chuo na hiyo ni kwasababu kila semister watu wanapunguzwa ndo maana kila semister ina kitambulisho chake
Wanapunguzwa Kiaje Mkuu..shona Uzi kamili bac.!
daah ki ukwel ifm kuna ukiritimba mkubwa na wizi mtupu...embu fikiria kuwa student id et buku 20000 whle vyuo vingne n buku 5 had 8..et registration n 50000 while vyuo vngne n buku 10 2...c wizi huu???
2andamane mbrazili