donMramba
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 250
- 42
jama nashindwa nifanye nini kwasababu nimeshachukua admission letter na wanahitaji tulipe asilimia 60 ya ada ambayo ni 1million na laki moja ivi..kiukweli familia yangu haimudi kunilipia hiyo pesa na mwisho wa kufanya usajili ni tarehe 6 oct,nategemea bodi ya mikopo bodi yenyewe wanasema mkopo mpaka wiki ya pili ya mwez oct..nifanyeje wakuu..
Nawasilisha
Nawasilisha