Msaada: Inachukua muda gani kuingiziwa pesa ya mkopo baada ya kuripoti chuoni?

Msaada: Inachukua muda gani kuingiziwa pesa ya mkopo baada ya kuripoti chuoni?

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Habari wakuu, naombeni kuuliza;

Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje?

Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
 
Habari wakuu,naombeni kuuliza .hivi unapokwa umelipot chuo inachukua mda gani ad kupewa baadhi ya hela za mkopo.
Na unakuwa unapewaje.
Mfano ka mm nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000
Eeh si uende kwa viongozi wako wa chuo uwaulize huko sasa humu unatuuliza wengine tunakaribia kustaafu utumishi..

Haya mm nikikwambia utaanza kupewa tsh. 3000 kwa siku × 2 month utaelewa kweli maana hilo sisi ndio lilikuwa boom letu enzi hizo.
 
Pesa ya kujikimu (Boom) utaweza kulitumia pale ambapo watakutumia OTP kwenye namba yako ya simu ambayo utasaini kwenye mfumo. Baada ya kusaini either kwa kupitia HESLB application au foleni kwenye chuo chako husika itachukua kama dakika mbili pesa kuingia kwenye account yako ya benki.

Kua mpole mpaka wote mpate allocation. Kwa sasa nadhani wapo batch ya nne ya kuweka pesa kwa continuous. Tegemea kupata hiyo pesa katikati ya mwezi huu mpaka mwishoni.
 
Habari wakuu, naombeni kuuliza;

Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje?

Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
EWe mzazi kama una kauwezo walau kadogo lipia mwanao ada mwenyewe, mikopo ya loan board ni mwiba kwa mwanao
 
Eeh si uende kwa viongozi wako wa chuo uwaulize huko sasa humu unatuuliza wengine tunakaribia kustaafu utumishi..

Haya mm nikikwambia utaanza kupewa tsh. 3000 kwa siku × 2 month utaelewa kweli maana hilo sisi ndio lilikuwa boom letu enzi hizo.
Shukran
 
Baada ya kuripoti pambana changamka mshike shati deal naye kiulalo lalo afisa mikopo wa chuo akusajiri kwenye mfumo WA Didi's baada ya kufanikiwa kusajiriwa kwenye huo mfumo TU aichukui nafasi ya daktari si zaidi ya wiki Moja autokuwa na ata senti 10 mana zote utaonga chuo Kuna watoto wakali bhana macho legelege kama yanadondoka weee acha tu
 
Eeh si uende kwa viongozi wako wa chuo uwaulize huko sasa humu unatuuliza wengine tunakaribia kustaafu utumishi..

Haya mm nikikwambia utaanza kupewa tsh. 3000 kwa siku × 2 month utaelewa kweli maana hilo sisi ndio lilikuwa boom letu enzi hizo.
Kama unakuwa huna jibu la kumpa kijana n kheri ukaushe sio kila hoja uijibu ww n nani
 
Back
Top Bottom