Eeh si uende kwa viongozi wako wa chuo uwaulize huko sasa humu unatuuliza wengine tunakaribia kustaafu utumishi..Habari wakuu,naombeni kuuliza .hivi unapokwa umelipot chuo inachukua mda gani ad kupewa baadhi ya hela za mkopo.
Na unakuwa unapewaje.
Mfano ka mm nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000
EWe mzazi kama una kauwezo walau kadogo lipia mwanao ada mwenyewe, mikopo ya loan board ni mwiba kwa mwanaoHabari wakuu, naombeni kuuliza;
Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje?
Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
πππ€£π€£π€£π€£
πππEWe mzazi kama una kauwezo walau kadogo lipia mwanao ada mwenyewe, mikopo ya loan board ni mwiba kwa mwanao
ShukranEeh si uende kwa viongozi wako wa chuo uwaulize huko sasa humu unatuuliza wengine tunakaribia kustaafu utumishi..
Haya mm nikikwambia utaanza kupewa tsh. 3000 kwa siku Γ 2 month utaelewa kweli maana hilo sisi ndio lilikuwa boom letu enzi hizo.
Kama unakuwa huna jibu la kumpa kijana n kheri ukaushe sio kila hoja uijibu ww n naniEeh si uende kwa viongozi wako wa chuo uwaulize huko sasa humu unatuuliza wengine tunakaribia kustaafu utumishi..
Haya mm nikikwambia utaanza kupewa tsh. 3000 kwa siku Γ 2 month utaelewa kweli maana hilo sisi ndio lilikuwa boom letu enzi hizo.
Asante kaka, kwa kunijibia mtu huyo mana kunawatu wana zaliwa awana hekimaπ shukran kwa ukalimuwako wakuona kuwa nimejibiwa vibayaπππKama unakuwa huna jibu la kumpa kijana n kheri ukaushe sio kila hoja uijibu ww n nani