Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

Sio kitu cha kupuuzia..malaika wako kuna ujumbe wanakupatia..hizo zinaitwa namba za Malaika.
Fuatilia kwa karibu Kila uzionapo..hebu mfano wa namba nakuambie ujumbe uliokuwa unnambiwa.
Yaani muda wowote ninaotaka kuangalia muda ndio nakutana na mfanano huo, iwe Asubuhi, mchana, usiku.

Mfano naweza kurupuka usingizini Asubuhi nikacheki saa 05:05, labda nimekaa mahali mchana nikajiuliza hivi saa hivi saa ngapi nikakuta 13:13, 14:14, 15:15 na Kuendelea

Pale muda wowote tuu napotaka kucheki saa nakutana na hiyo hali. Kuna mdau Hapo juu Anasema labda Kama vile ubongo umejiset kwamba pattern zikifanana unaniambia embu angalia saa
 
Mimi pia nilianza kupata hii hali na mara nyingi nikiiona huwa najua kuna bahati inakuja.Mimi hii namba niliianza kuiona nilipokuwa natumia kitabu fulani cha sala ambacho kina ahadi 21 kipindi nilikuwa napitia magumu na haikuchukuwa muda matatizo yale yaliputa.Kwangu huwa 21:00, au 11:21 au 9:21 na sio kwenye saa tu kuna siku nilikuwa na majonzi nikawa navuta karatasi kwenye diary roughly nilichana karatasi ya tarehe 21,kuna siku nilikuwa nimenunua maziwa ya kopo nikawa nataka kujua kifuniko kipi cha zamani na kipi cha sasa nakuta nachokikagua ni product ya 21,nikiangalia chaji 21,nikimuuliza mtu saa ngapi ataniambia ni dakika au saa 21.Nikiamka usiku niangalie saa naona 21.Nikikaa tu nashangaa naangalia simu na kuta ni dakika au namba 21 either iwe saa,dakika au chaji.Nikajua ni mimi tu huwa napitia hiyo hali ila nikakuta na wengine pia wanayo.
 
Watu wengi hupuuza sana jambo hili ila ukweli nikwamba nature inakua inawasiliana nawewe mojakwamoja.
 

Attachments

  • FB_IMG_17131841356040064.jpg
    140.6 KB · Views: 19
  • FB_IMG_17131841046740066.jpg
    140.6 KB · Views: 18
Sio kitu cha kupuuzia..malaika wako kuna ujumbe wanakupatia..hizo zinaitwa namba za Malaika.
Fuatilia kwa karibu Kila uzionapo..hebu mfano wa namba nakuambie ujumbe uliokuwa unnambiwa.
05:05 Malaika wako anakupa taarifa kwamba mabadiliko makubwa yanaenda kutolea kwenye maisha yako,kuwa tayari kuyapokea na kusahau au uache mambo yaliyopita.
14;14..una Kila kitu cha kukufanya uwe na maendeleo..una ubunifu, ujasiri,kujiamini nk..ni wewe tu kunitumia.
Aidha,kibiblia kutoka 14:14 inasema Mungu atakupambania; Hesabu 14;14 inaonyesha vile Mungu alivyowalinda na kuwaongoza Waisraeli.so na wewe pia una ulinzi huo.
15;15..haina tofauti sana na ile 05;05...Unataarifiwa kuhusu mabadiliko chanya.
Hivyo; kwa ujumla tegemea mabadiliko na kwamba unao ulinzi wa Mungu..kama mtu wa kufanya Ibada endelea.
 
Repeatedly seeing the same set of letters or numbers may be a sign of number synchronicity or letter synchronicity, which is believed by some to be a message from the universe or higher powers.
 
Kaka tafuta pesa
 
Hii nakumbuka ilinikuta kipindi nataka kumpa jina mtoto wangu wa kwanza


Kila hela ya noti (buku,buku 2, 5k na 10k) niliyokuwa napata kwenye miamala ninayofanya au chenchi ninayopewa lazima ije na herufi JJ au J na herufi zingine...Hee nikawa nashangaa nini hiki?

Katika kipindi hicho nilikuwa natafuta jina la kumpa mtoto, nadhani mnajua inavyokuwa ngumu kupata jina la mtoto kwa mara ya kwanza...

Aaah nikawauliza wataalam wakaniambia hicho kitu kinaitwa "Letter Synchronicity", wakaniuliza kitu gani kinakustress sana au kinakushughulisha mno nikawaambia ishu ya kumpa mtoto jina..wakasema tumia J kumpa jina mtoto wako huyo... Basi nikapata Jina ambalo linaanzia na J nikawa na furaha amani nalo (Maana majina mengine yanayoanzia na herufi zingine sikuwa na amani nayo) na baada ya hapo kumpa hilo jina zile Herufi JJ hazikunijia tena kwenye Pesa mara nyingi kama huko nyuma..

Interesting!
 

Mkuu Ahsante kwa unabii na mafundisho ikawe Heri
 
Reactions: BRN
Nadhani kila kitu ulimwenguni kina maana yake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…