Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 944
- 1,682
- Thread starter
- #41
Acha hizo MkuuUnakaribia kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo MkuuUnakaribia kufa.
Kweli kabisaNadhani kila kitu ulimwenguni kina maana yake mkuu
Mkeo atazaa mapachaHabari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa? Nikangalia saa nakuta 12:12 au 05:05 kutegemea na majira ya muda huo.
Au nasema ngoja nikaangalie mazoezi uwanjani naangalia saa 17:17, 18:18, ngoja niamke nijiandae kwenda ofisini nikicheki saa 06:06.
Naombeni msaada wa ufafanuzi kuangalia saa nakukuta masaa na dakika kufanana ina maana gani kiroho, kiakili, kimaisha?
Ahsante.
Kuwa makini maana ukiona dakika za majeruhi ujue unakaribia kufaUmeuliza kitu ambacho hata mimi nilikuwa najiuliza..!!
But kwa upande wangu ni tofauti kidogo, me nikisema niangalie mda ni saa ngapi, mara nyingi sana upande wa dakika basi lazima nitakuta na nusu au dakika 40, mfano 3:30, 10:30, 5:40, 9:40 nk, but range upande wa dakika haijawahi kuvuka hizo dakika hapo,, kila nikihitaji kuangalia mda.
Wenye utaalamu na hili swala waje kutujuza aisee.
Daah umeniogopesha kweli yani maana nimetoka kuangalia mda this time na nimekuta ni 10:30 tena 😢Kuwa makini maana ukiona dakika za majeruhi ujue unakaribia kufa
Dakika za majeruhi hizoDaah umeniogopesha kweli yani maana nimetoka kuangalia mda this time na nimekuta ni 10:30 tena 😢
Inabidi niikatae roho ya umauti haraka iwezekanavyo 😢🤒Dakika za majeruhi hizo
Ebu angalia saa sasahiviHabari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa? Nikangalia saa nakuta 12:12 au 05:05 kutegemea na majira ya muda huo.
Au nasema ngoja nikaangalie mazoezi uwanjani naangalia saa 17:17, 18:18, ngoja niamke nijiandae kwenda ofisini nikicheki saa 06:06.
Naombeni msaada wa ufafanuzi kuangalia saa nakukuta masaa na dakika kufanana ina maana gani kiroho, kiakili, kimaisha?
Ahsante.
haya mambo usiyaapuze ndugu yangu. Hebu ngoja nikupe mfano wangu, ilikuwa inatokea hivyo kila saa 12.34 bila kujali ni mchana au usiku. nikaja kugundua ni ex wangu aliyekuwa ananifanyia manifestation. ikatokea tu siku moja tukaongea na akawa muwazi kwamba " I was manifesting you" nikajua ndio maana ya ile. Na ili kuthibitisha, kila nikiiona 12.34, najua ni yeye na mimi nampotezea, muda si muda, nikapigiwa simu na polisi muda huo huo 12.34 kwamba huyo demu kapatwa na majanga fulani.Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa? Nikangalia saa nakuta 12:12 au 05:05 kutegemea na majira ya muda huo.
Au nasema ngoja nikaangalie mazoezi uwanjani naangalia saa 17:17, 18:18, ngoja niamke nijiandae kwenda ofisini nikicheki saa 06:06.
Naombeni msaada wa ufafanuzi kuangalia saa nakukuta masaa na dakika kufanana ina maana gani kiroho, kiakili, kimaisha?
Ahsante.
Sawa, ila una jua kila binadamu ana nyota??, na malaika wake wa kiroho huzungumza nae kupitia njia hizo!?Intelligent businessman njoo utie neno
Hahahaha hiyo kaliNa mimi naongezea kuna jamaa yangu kaimeza saa yote kichwani.Ukimuuliza saa ngapi sasa hivi anakujibu saa nne na dk 38 ukicheki ni kweli .Hata ukimuamsha usingizini atakwambia hii saa tisa na dk 13 na ni kweli.Ni jini huyu sijui?!
Nitaanza kulifanyia kazi Mkuuhaya mambo usiyaapuze ndugu yangu. Hebu ngoja nikupe mfano wangu, ilikuwa inatokea hivyo kila saa 12.34 bila kujali ni mchana au usiku. nikaja kugundua ni ex wangu aliyekuwa ananifanyia manifestation. ikatokea tu siku moja tukaongea na akawa muwazi kwamba " I was manifesting you" nikajua ndio maana ya ile. Na ili kuthibitisha, kila nikiiona 12.34, najua ni yeye na mimi nampotezea, muda si muda, nikapigiwa simu na polisi muda huo huo 12.34 kwamba huyo demu kapatwa na majanga fulani.
Pili, huwa sina kawaida ya kuamuka usiku saa 9, ikatokea week 6 mfululizo naamka mido hiyo. Ikaja kutokea kumbe mama yangu alikuwa anaamka usiku huo kuanza kuniombea. Aliniambia yeye mwenyewe bila kumuuliza.
Sasa connect the dot na watu wa karibu yako, Utapa tu majibu.
Dah 😂Unakaribia kufa mzee
Dah umetisha baada ya miezi kadhaa mbele nitakucheki inbox kukupa feedback ya utabiri wako.Mkeo atazaa mapacha