SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi.
Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo imekaa karibu kabisa na nyumba ya mwenye eneo hilo kiasi kwamba hiyo nguzo mbeleni itapokuja kuoza ikatokea kuanguka basi tutarajie madhara kutokea.
Wajuvi wa mambo naomba msaada wenu