SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Ndugu Kwa kila kiwanja inatakiwa uache mita mbil Kwa pande zotë Kwa shughuli za dharura,uwekaji miondombinu mbalimbali.. other wise wawe wameweka katkt ya kiwanja hpo si SAWA. Kumbuka na wenyewe wana Raman za mipango miji.. kma una hoja unaweza tembelea tawi karibuWakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi.
Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo imekaa karibu kabisa na nyumba ya mwenye eneo hilo kiasi kwamba hiyo nguzo mbeleni itapokuja kuoza ikatokea kuanguka basi tutarajie madhara kutokea.
Wajuvi wa mambo naomba msaada wenu
fafanua... kuna sehemu ume kwama mzee...Ndugu Kwa kila kiwanja inatakiwa uache mita mbil Kwa pande zotë Kwa shughuli za dharura,uwekaji miondombinu mbalimbali.. other wise wawe wameweka katkt ya kiwanja hpo si SAWA. Kumbuka na wenyewe wana Raman za mipango miji.. kma una hoja unaweza tembelea tawi karibu
tunapo acha zile mita 1.5 upande wa kulia na kushoto pia 1.5 au 2.0 nyuma na mbele mita 2.5 au 3 kulingana na standards zilizo wekwa na hao unao waita mipango miji ni kwa sababu nyingi kama ulivyo sema moja wapo dhalula... kama moto nk... ila kama ni nguzo au maji kwenda upande wa pili ni hapana lazima kuwe na makubaliano na mwenye eneo...Ndugu Kwa kila kiwanja inatakiwa uache mita mbil Kwa pande zotë Kwa shughuli za dharura,uwekaji miondombinu mbalimbali.. other wise wawe wameweka katkt ya kiwanja hpo si SAWA. Kumbuka na wenyewe wana Raman za mipango miji.. kma una hoja unaweza tembelea tawi karibu
Tafadhali toa taarifa kwenye ofisi za eneo lako kwa hatua zaidiWakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi.
Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo imekaa karibu kabisa na nyumba ya mwenye eneo hilo kiasi kwamba hiyo nguzo mbeleni itapokuja kuoza ikatokea kuanguka basi tutarajie madhara kutokea.
Wajuvi wa mambo naomba msaada wenu
Haitamsaidia.Tafadhali toa taarifa kwenye ofisi za eneo lako kwa hatua zaidi
Hicho cha mtoto mkuu kwangu Tandale wamepitisha line ya umeme mkubwa juu ya nyumba yangu bila ridhaa yanguWakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi.
Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo imekaa karibu kabisa na nyumba ya mwenye eneo hilo kiasi kwamba hiyo nguzo mbeleni itapokuja kuoza ikatokea kuanguka basi tutarajie madhara kutokea.
Wajuvi wa mambo naomba msaada wenu
Sio kweli. Line ya umeme mkubwa haiwez pita chin ya nyumbaa . N haiwezekan..tuma pichaa tuone..ila scenario za nguzo kupita kwenye viwanja vya watu ipo..especially sehem ambako hakuna mchoro wa mipango miji na Kama kiwanja Kiko empy..mm ishawahi nitokea kwenye kiwanja changu na walihamisha nguzo zao.Hicho cha mtoto mkuu kwangu Tandale wamepitisha line ya umeme mkubwa juu ya nyumba yangu bila ridhaa yangu
Hakuna mtu anapitisha line ya umeme mkubwa juu ya nyumba ya mtu. Otherwise uliuziwa kiwanja baada ya umeme kupita na ukajenga chini ya line ya umeme! Tuwe wa kweli na tupende mihundombinu kama tunapenda maendeleo, wewe kama upo barabarani umepata umeme kumbuka Kuna watu wako pembezoni mwa Barabara wanahitaji umeme pia, kwahiyo mnapojenga nyumba zenu kuziba njia zote amtendi aki Wala kutumia ubinadamu Kwa majirani zenu.Hicho cha mtoto mkuu kwangu Tandale wamepitisha line ya umeme mkubwa juu ya nyumba yangu bila ridhaa yangu
Mkuu sio umeme mkubwa ni hizi nguzo za majumbaniSio kweli. Line ya umeme mkubwa haiwez pita chin ya nyumbaa . N haiwezekan..tuma pichaa tuone..ila scenario za nguzo kupita kwenye viwanja vya watu ipo..especially sehem ambako hakuna mchoro wa mipango miji na Kama kiwanja Kiko empy..mm ishawahi nitokea kwenye kiwanja changu na walihamisha nguzo zao.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Ww huwa wana lipwa na tanesco hiinya Tz, alafu nguzo ikipita ktk eneo la mtu kwanza huwa nichangamoto hata kwa wateja wapya kupewa umeme kutokea ktk iyo nguzo ...fafanua... kuna sehemu ume kwama mzee...
inapo achwa barabara ndiyo itapitisha na miundo mbinu mingine kama umeme, maji nk... ukiambiwa upana wa barabara ni 120 kila upade sio kwamba yote ni kwa ajili ya ujenzi wa barabara bali na miundo mbinu mingine...
sasa kama wame pitisha nguzo kwenye eneo lako una takiwa kulipwa kwa nguzo kupita hapo, mimi mzee wake amelipwa kwa nguzo mbili au tatu kupita katika eneo lake...
Ilichukua muda gani kuhamisha nguzo hizo mkuu ?Sio kweli. Line ya umeme mkubwa haiwez pita chin ya nyumbaa . N haiwezekan..tuma pichaa tuone..ila scenario za nguzo kupita kwenye viwanja vya watu ipo..especially sehem ambako hakuna mchoro wa mipango miji na Kama kiwanja Kiko empy..mm ishawahi nitokea kwenye kiwanja changu na walihamisha nguzo zao.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app