Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
- Thread starter
-
- #21
Anhaaa, hapo nadhani nimekuelewa utofauti wa safe mode na normal mode ni downloaded apps, kama tatizo litakuwa linaendelea na kwenye safe mode basi shida itakuwa kwenye system yenyewe la sivyo itakuwa ni downloaded (custom) app/apps si ndio?Safe mode huipati simu ikiwa on.
Niliposema kawaida nilimaanisha bila glitch. Mfano kuna app unaweza install ukashangaa inakuletea ads nyingi au simu inakua slow.
Hivyo kama ukiwasha katika safe mode na ukawa huzioni hizo glitch inamaanisha kuna app ndiyo zilikua zinasababisha hivyo.
Yea upo sahihiAnhaaa, hapo nadhani nimekuelewa utofauti wa safe mode na normal mode ni downloaded apps, kama tatizo litakuwa linaendelea na kwenye safe mode basi shida itakuwa kwenye system yenyewe la sivyo itakuwa ni downloaded (custom) app/apps si ndio?
I hope na kwenye PC ni hivyo hivyo si ndio?Yea upo sahihi
Unapo hold volume down kisha ukawasha simu baadhi ya simu zinakuwa katika safe mode na baadhi zitakwenda katika fastbootKwahiyo unataka kusema ili simu iingie safe mode ndio kushikilia vol down au?
Fast boot manake simu inaskip boot animation au ndio ile menu ya kufanya hard reset na mengineyo?Unapo hold volume down kisha ukawasha simu baadhi ya simu zinakuwa katika safe mode na baadhi zitakwenda katika fastboot
Hapana PC haina hii solution.I hope na kwenye PC ni hivyo hivyo si ndio?
Kwahiyo safe mode PC ni kwaajili ya nini?Hapana PC haina hii solution.
Hata kama pc ina safe mode haiwezi fanya kazi kama katika simu. Ni safe mode au sleep mode?Kwahiyo safe mode PC ni kwaajili ya nini?
PC nazo zina safe mode mkuu na nimewahi kuingia mara kadhaa ila ndo sijui kama inatumika kama ya kwenye simu au vepe.Hata kama pc ina safe mode haiwezi fanya kazi kama katika simu. Ni safe mode au sleep mode?