Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

Ninja assasin

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
2,512
Reaction score
5,848
Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8.
Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
 
Line ipi inafungua ?
Unavyosema haifungua unamaanisha data hazisomi kabisa ?
Au data zinasoma ila ukitaka kufungua kitu mfano google haifungiki?
 
Line ipi inafungua ?
Unavyosema haifungua unamaanisha data hazisomi kabisa ?
Au data zinasoma ila ukitaka kufungua kitu mfano google haifungiki?
Voda na halotel ziko poa kabsaa

Tigo haifungui kabisa connection ya data Sasa shida ni settings ndo kumenitoa jasho
 
Screenshot hapo kwenye apn kuna kipengele cha kusave,na kui activate nahisi ndio mnapoachana..
Alafu kwenye data limit kaweke off..
Ukipata sms ya configuration bonyeza install itamaliza kujisave yenyewe na kiji activate
 
Back
Top Bottom