Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8.
Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Voda na halotel ziko poa kabsaaLine ipi inafungua ?
Unavyosema haifungua unamaanisha data hazisomi kabisa ?
Au data zinasoma ila ukitaka kufungua kitu mfano google haifungiki?
Set apn au wapigie simu wakufanyie configuration kwa smsVoda na halotel ziko poa kabsaa
Tigo haifungui kabisa connection ya data Sasa shida ni settings ndo kumenitoa jasho
Asante mkuuSet apn au wapigie simu wakufanyie configuration kwa sms
Umefanikiwa?Asante mkuu
BADO mkuu ndo nataka niwachek wanitumie comfiguration wenyew labda maana nimecheza kweny APN kumenitoa jashoAsante mkuu
Nakukumbusha uwe na kitambaa cha jasho karibu!BADO mkuu ndo nataka niwachek wanitumie comfiguration wenyew labda maana nimecheza kweny APN kumenitoa jasho
mkuu nimefanikiwa 😂😂😂Nakukumbusha uwe na kitambaa cha jasho karibu!
Asante mkuu wamenitumia nimefanikiwa 🙏Set apn au wapigie simu wakufanyie configuration kwa sms
Asante mkuu wamenitumia nimefanikiwa 🙏
OK mkuu AsanteUpande wa kulia juu kwenye hivyo vodot vitatu bonyeza utaona save..