Msaada interview kwa Jeshi la magereza tusiokuwa na fani yoyote

Msaada interview kwa Jeshi la magereza tusiokuwa na fani yoyote

Joined
May 16, 2022
Posts
45
Reaction score
32
Habari ndugu zangu naomba mnisaidie mwenye uzoefu wa usaili kuhusu Jeshi la magereza kwa sisi Form Four tusiokuwa na fani.

Je, usaili wake upoje? Au maswali yanayoulizwa mara kwa mara ni yapi? (Oral & written)
 
Jifunze kuandika hapa sio Facebook. Unapoamua kuandika kwa lugha ya kiswahili basi hakikisha uzi wote umeandika kiswahili, hilo neno interview futa uandike kwa kiswahili.

Unapouliza swali, usiseme sisi inabidi useme mimi maana huu uzi hamjaandika watu zaidi ya mmoja ila umeandika wewe peke ako.

Zingatia alama za mkato, kiulizo na nukta katika uandishi ili usitupe tabu wakati wa kusoma uzi wako.
 
Umepita JKT? Hiyo ndo sifa yao kubwa hawachukui mtaani sikuhizi kinacho baki connection
 
Usaili ni kesho jumatatu
Vigezo kama urefu , vyeti vyote tajwa kwenye Tangazo, Kiufupi vigezo vyote walivyohitaji uwe navyo..maswali kma utaulizwa ni kuhusu jeshi la magereza.jua viongozi ata wawili wa juu Kabisa ,dhima ya jeshi la magereza na dira na history ya magereza
 
Back
Top Bottom