Msaada interview kwa Jeshi la magereza tusiokuwa na fani yoyote

Tukae mkao wa kula tetesi ni kwamba(wiki mbili zijazo)mzigo(PDF) itakua on air.
 
Watu wa Mungu hivi bogi la makutu bado halijaenda kozi? Alaf jkt kujitolea wameripoti lini?
 
Wakuu nmeitwa magereza usaili ngazi ya wilaya na niliomba kama form 4 na nina degree, vp kwwnye suala la vyeo uko jeshi la magereza na je kuna usaili mwingine zaidi ya hapa wilayani?
 
Wakuu nmeitwa magereza usaili ngazi ya wilaya na niliomba kama form 4 na nina degree, vp kwwnye suala la vyeo uko jeshi la magereza na je kuna usaili mwingine zaidi ya hapa wilayani?
fanta usahili kwanza mkuu mambo ya vyeo utayajua mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…