Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Yapo tukiwa tupo kwenye usaili tulikuwa tunapiga nao soga wakatueleza info zote mambo yamebadilika siku hiziKwamba magereza wanaovertime,Posho ya maji na umeme +100k ya pango?[emoji1][emoji1]
hayo mambo mtayasikia kwa JW pekee nyie endeleeni kusaga meno.
kidogo ndugu zenu polisi nasikia wanapata posho ya lindo.
Sijui aise ila nilisikia mwezi wa naneSawa mkuu hiv huna lonja ccp wanamaliz lini
Kama polisi wamepewa posho ya lindo ni vyemaKwamba magereza wanaovertime,Posho ya maji na umeme +100k ya pango?[emoji1][emoji1]
hayo mambo mtayasikia kwa JW pekee nyie endeleeni kusaga meno.
kidogo ndugu zenu polisi nasikia wanapata posho ya lindo.
Mbona too late kuusaka mbuyu[emoji3]Wakuu hivi mbuyu naweza nikampata vipi? Maana kama pesa ya kumuhonga ipo ntazungusha bakuli kwenye familia haraka sana.
Kunywa maji mengi japo wanachukua watu weng inaweza toka before sensa pia watu wajiandaeNasubiri tu pdf ndio ina maelekezo yote kuripoti ni lini na majina ya wanao ripoti
Hapo nina wasiwasi na wao pia ni baada ya sensa
Nataka itoke baada ya sensaKunywa maji mengi japo wanachukua watu weng inaweza toka before sensa pia watu wajiandae
Wa makutu leo wanamaliza vipimo vya afyaKama polisi wamepewa posho ya lindo ni vyema
Ila mwaka 2015 nakumbuka jamaa etu alikuwa polisi . akinunua Luku TANESCO anakusanya karatasi anapeleka anapewa ela yake (refund) sjui hii imekaaje.
So hivi viposho ni kawaida havina maajabu sio Jw pekee yake ana posho. Hata hawa majeshi ya wizara ya ndani yana posho
Tofauti maslahi tu jw anaokota parefu
Duuh mpka leo bado tu tena ndio wanamaliza leo wanapima vipimo gani hivyo visivyoishaWa makutu leo wanamaliza vipimo vya afya
Ingetakiwa mpka sahiv wawe wanaandaa pdfWa makutu leo wanamaliza vipimo vya afya
Leo vya mwisho majuz wametoa watu wa 93 warud kitaaDuuh mpka leo bado tu tena ndio wanamaliza leo wanapima vipimo gani hivyo visivyoisha
Vile vya mwili ?Leo vya mwisho majuz wametoa watu wa 93 warud kitaa
Umri ume watemaVile vya mwili ?
Njaa huko ila kikubwa uzalendo makamanda.Yapo tukiwa tupo kwenye usaili tulikuwa tunapiga nao soga wakatueleza info zote mambo yamebadilika siku hizi
Sawa mkuu hiv huna lonja ccp wanamaliz lini
Kumbe wanakaribia kumaliza gameTr 3/8....
Hamna michongo wala lonjaMbona kimya sana humu maport
Hopefully haitachukua muda Sana ku release PDF watu wajue mwelekeoHamna michongo wala lonja
Hapa nina wasiwasi lazima watu wahesabiwe kwanza ndio safari ya Kiwira ianzeHopefully haitachukua muda Sana ku release PDF watu wajue mwelekeo
Hivi wakuu scale za magereza na JW zipi zamoto zaidi namaanisha yale madoso. Maana nijuavyo mimi scale za jw hazishikiki ingawa kuna watu nimekutana nao wananiambia Askari magereza pia wameiva sana.Hapa nina wasiwasi lazima watu wahesabiwe kwanza ndio safari ya Kiwira ianze
Mliomaliza vipimo mpo fiti Nunueni masweta [emoji3]japo sidhani kama mtaruhusiwa kuyavaa