Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwamba magereza wanaovertime,Posho ya maji na umeme +100k ya pango?[emoji1][emoji1]

hayo mambo mtayasikia kwa JW pekee nyie endeleeni kusaga meno.

kidogo ndugu zenu polisi nasikia wanapata posho ya lindo.
Yapo tukiwa tupo kwenye usaili tulikuwa tunapiga nao soga wakatueleza info zote mambo yamebadilika siku hizi
 
Kwamba magereza wanaovertime,Posho ya maji na umeme +100k ya pango?[emoji1][emoji1]

hayo mambo mtayasikia kwa JW pekee nyie endeleeni kusaga meno.

kidogo ndugu zenu polisi nasikia wanapata posho ya lindo.
Kama polisi wamepewa posho ya lindo ni vyema

Ila mwaka 2015 nakumbuka jamaa etu alikuwa polisi . akinunua Luku TANESCO anakusanya karatasi anapeleka anapewa ela yake (refund) sjui hii imekaaje.

So hivi viposho ni kawaida havina maajabu sio Jw pekee yake ana posho. Hata hawa majeshi ya wizara ya ndani yana posho

Tofauti maslahi tu jw anaokota parefu
 
Wa makutu leo wanamaliza vipimo vya afya
 
Hapa nina wasiwasi lazima watu wahesabiwe kwanza ndio safari ya Kiwira ianze

Mliomaliza vipimo mpo fiti Nunueni masweta [emoji3]japo sidhani kama mtaruhusiwa kuyavaa
Hivi wakuu scale za magereza na JW zipi zamoto zaidi namaanisha yale madoso. Maana nijuavyo mimi scale za jw hazishikiki ingawa kuna watu nimekutana nao wananiambia Askari magereza pia wameiva sana.
 
Back
Top Bottom