Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hivi Kwenye damu kuna chengine wanachoangalia zaidi ya homa ya ini na ukimwi ?Ngoja tusuburi kesho,wazalendo watatupa mrejesho,ila kwa usaili wa special course makao walikua wanapiga simu,na wanaamini simu kushinda pdf walizokua nazo,maana ukitokea mkanganyiko baadhi ya wadau walipigiwa simu ila kwenye mkeka wao majina hayakuepo,walichokifanya ulikua unaonyesha namba iliokupigia,then unaingia kuandikisha.
Tusuburi magereza,tuone watatumia mfumo gani.
Cha muhimu ni kutunza damu na kula karoti kwa wingi maana macho yanawatemaga wazalendo wengi.
Kipindi hichi madawiri ni kuwa nao makini