Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Ngoja tusuburi kesho,wazalendo watatupa mrejesho,ila kwa usaili wa special course makao walikua wanapiga simu,na wanaamini simu kushinda pdf walizokua nazo,maana ukitokea mkanganyiko baadhi ya wadau walipigiwa simu ila kwenye mkeka wao majina hayakuepo,walichokifanya ulikua unaonyesha namba iliokupigia,then unaingia kuandikisha.
Tusuburi magereza,tuone watatumia mfumo gani.
Cha muhimu ni kutunza damu na kula karoti kwa wingi maana macho yanawatemaga wazalendo wengi.
Hivi Kwenye damu kuna chengine wanachoangalia zaidi ya homa ya ini na ukimwi ?

Kipindi hichi madawiri ni kuwa nao makini
 
Hapana,makao makuu hayapo uko,ila nilikua naelezea kwa uzoefu wangu,mfano wa usaili unaoendelea makutupola,hawakutoa PDF...walikua wanapiga simu tu
Makutopora special case mkuuu wameanza kurudisha nyumban watu wamezid umr
 
Ngoja tusuburi kesho,wazalendo watatupa mrejesho,ila kwa usaili wa special course makao walikua wanapiga simu,na wanaamini simu kushinda pdf walizokua nazo,maana ukitokea mkanganyiko baadhi ya wadau walipigiwa simu ila kwenye mkeka wao majina hayakuepo,walichokifanya ulikua unaonyesha namba iliokupigia,then unaingia kuandikisha.
Tusuburi magereza,tuone watatumia mfumo gani.
Cha muhimu ni kutunza damu na kula karoti kwa wingi maana macho yanawatemaga wazalendo wengi.
Tpdf Hawa PDF Kama Hawa police, uhamishaji na wengin kikubwa subira mkuu
 
Ukiitwa kwenye usaili hakikisha unawaulizia watu walio pita kwenye kile kibao cha kupimia macho wakutajie herufi maana hawabadirishi....laah sihivyo,kitu kidogo kinaweza kukuferisha maisha,wee kaa mwishoni mwishoni ili ukifika ukitaja ata viherufi vi 3 wakuachie
 
Kweli kabisa lonja muhimu
 
Watu makutupora waliondoka na machovi na degree zao
Hicho kipimo nishakikumbuka tayari [emoji16] tulifanya jkt zimechorwa herufi herufi nyengine kubwa nyengine ndogo kama ni hicho utakuwa mzembe ukikatwa maana mnapanga mstari kwahyo mwenzako akionyeshwa herufi na fimbo unamskia na unaona kabisa

Labda wakuingize kwenye chumba mwenyewe
 
Back
Top Bottom