Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Jw ndio wanaongoza wana msoto mkali wao ndio baba laoHivi wakuu scale za magereza na JW zipi zamoto zaidi namaanisha yale madoso. Maana nijuavyo mimi scale za jw hazishikiki ingawa kuna watu nimekutana nao wananiambia Askari magereza pia wameiva sana.
Hivi majeshi yote yana six week? Yaani zile nzito bila kuona kitanda?Jw ndio wanaongoza wana msoto mkali wao ndio baba lao
Nadhani wanafata magereza nao pia wana mazoezi sana kuliko polisi ambao wao asilimia kubwa ni darasani
Msoto upo kwa wote [emoji3]Hivi majeshi yote yana six week? Yaani zile nzito bila kuona kitanda?
Una maana gn? MkuuUjue kutumia kishikwambi
Hahaha wana waacha wajuba wateseke na baridi, kombati zao ngumu piaHapa nina wasiwasi lazima watu wahesabiwe kwanza ndio safari ya Kiwira ianze
Mliomaliza vipimo mpo fiti Nunueni masweta [emoji3]japo sidhani kama mtaruhusiwa kuyavaa
Jana madogo group fulani walikuwa Wana jambishana ronja uchwara tayari watu wamepigiwa simu wanaenda kiwira tareh 3 kimya kimya ikanistua hii ishu na jamaa yuk MG aka niambia hii ishu Hakuna kitu ka Hiko Cha kimya kimyaMsoto upo kwa wote [emoji3]
Ni kweli hakuna kitu kama hicho yaani final say ya Kiwira ni pdf [emoji3]hata kama umevuka mpka mkoani na vipimo umefanya hapo bado upo mguu mmoja njeJana madogo group fulani walikuwa Wana jambishana ronja uchwara tayari watu wamepigiwa simu wanaenda kiwira tareh 3 kimya kimya ikanistua hii ishu na jamaa yuk MG aka niambia hii ishu Hakuna kitu ka Hiko Cha kimya kimya
Daah na msoto niliopata kitaani inshaallah kama nitafanikiwa kupita ile baridi sidhani kama nitakuwa nasikia mda wote natabasamu tu . Mungu asaidie tu safari hii iwe zamu yangu [emoji3]Hahaha wana waacha wajuba wateseke na baridi, kombati zao ngumu pia
Hahaha watu wanywe maji mengi tu ......tuvute subira tuNi kweli hakuna kitu kama hicho yaani final say ya Kiwira ni pdf [emoji3]hata kama umevuka mpka mkoani na vipimo umefanya hapo bado upo mguu mmoja nje
Yaani ajira zitoke mtandaoni kila mtu aone na majibu yatoke kimya kimya hamna hio
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama majibu yatakuja mapema hapa lazima tuhesabiwe kwanza ila yakitoka mapema itakuwa vyema zaidi niachane na mkazi wao temporary wa sensa
Ameletwa nani sahivi ?
Nafas iko wapi maybe makamu wake anaweza kuula Hadi siku inakamilika Jana hawaja sema kituAmeletwa nani sahivi ?
Mzee alikuwa vzr hapo magereza yeye na uncle magu walilibadilisha kwa kiasi kikubwa hilo jeshi bora Maza asingemtoa angemuacha hapohapoNafas iko wapi maybe makamu wake anaweza kuula Hadi siku inakamilika Jana hawaja sema kitu
Mama hapa kazingua sana tu, Sijui aliwaza Nini kwahiliMzee alikuwa vzr hapo magereza yeye na uncle magu walilibadilisha kwa kiasi kikubwa hilo jeshi bora Maza asingemtoa angemuacha hapohapo
Poa kiongozWaliopo ccp mpaka mwez wa 9 aisee nimeskia mpaka wahesabiwe ndo watokeee kwa hio wa 9 mwanzo tutakua nao
Naona safari ya Kiwira itachelewaWaliopo ccp mpaka mwez wa 9 aisee nimeskia mpaka wahesabiwe ndo watokeee kwa hio wa 9 mwanzo tutakua nao