Inatosha aise kwa kibongo bongo life linaenda
Diploma na degree je?
Kuna jamaa ana diploma ya human resource anachukua mia5 ,na mwingine yeye ana degree ya procurement and supply wanamlipa 750000 kwa magereza sa sijajua kwa wenye fan zingine jnakuaje mfano kwa afya but huyo wa degree nilikuwa nae karibu sasa namimi nilikuwa nipo likizo mda huo wakat nipo chuo mwaka wa pili jamaa akanidokezea hapo,Diploma na degree je?
Na hio posho ipo hapo katikati ya mwezi nj ya mshahara?Kuna jamaa ana diploma ya human resource anachukua mia5 ,na mwingine yeye ana degree ya procurement and supply wanamlipa 750000 kwa magereza sa sijajua kwa wenye fan zingine jnakuaje mfano kwa afya but huyo wa degree nilikuwa nae karibu sasa namimi nilikuwa nipo likizo mda huo wakat nipo chuo mwaka wa pili jamaa akanidokezea hapo,
Wanangu Kuna mwana kanitajia mshahara na maisha ya bwana jera SEMA basi tuu Wacha tujikaze
Kuna Uzi upo habari mchanganyikoTuambie tujue..
Naomba kujua mishahara yenu mkuu.. pamoja na posho zenu zikljePGO haihusiki na Magereza boss
PGO ni Polisi huko
Magereza wana PSO na sheria zingine za nchi, za Kikanda na Kimataifa
Wanangu Kuna mwana kanitajia mshahara na maisha ya bwana jera SEMA basi tuu Wacha tujikaze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we umeambiwa af unakuja huku kuweka siri. Si ungenyamaza tu tusijue kama umeambiwaWanangu Kuna mwana kanitajia mshahara na maisha ya bwana jera SEMA basi tuu Wacha tujikaze
upo sahhi, lakin urefu unazngatiwa bossKwani ulifikir wale waliopata polisi wote wamefikisha ule urefu uliotakiwa..?
Kwa wenye fani urefu sio issue mana eanahutaji nazo ila hata ukiwa na connection urefu sio issue,sio uhakika kama urefu sio issue
upo sahhi, lakin urefu unazngatiwa boss
Kesho ndo kuna wakati hata interview Kwa degree,Diploma na Certificate badoJamani eeeh kesho ndio kesho asemae kesho mwongooo changamsheni Uzi kesho boom lilipuke [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hiio ya vinywaji ni laki3 pt hata jwMagereza form4 mshahara laki4 na posho ni laki3=700000,but huwa kuna package ya laki3 kila baada ya miez mi3 package ni hela ya vinywaji .kwa upande wa polisi sijajua
Basi wanafanana tuHiio ya vinywaji ni laki3 pt hata jw