Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Diploma na degree je?
Kuna jamaa ana diploma ya human resource anachukua mia5 ,na mwingine yeye ana degree ya procurement and supply wanamlipa 750000 kwa magereza sa sijajua kwa wenye fan zingine jnakuaje mfano kwa afya but huyo wa degree nilikuwa nae karibu sasa namimi nilikuwa nipo likizo mda huo wakat nipo chuo mwaka wa pili jamaa akanidokezea hapo,
 
Na hio posho ipo hapo katikati ya mwezi nj ya mshahara?
 
Wanangu Kuna mwana kanitajia mshahara na maisha ya bwana jera SEMA basi tuu Wacha tujikaze
 
Kaka mishahara ya mambo ya ndani ni sawa,na watu wanalipwa kulingana na elimu zao mkubwa
 
Wanangu Kuna mwana kanitajia mshahara na maisha ya bwana jera SEMA basi tuu Wacha tujikaze
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we umeambiwa af unakuja huku kuweka siri. Si ungenyamaza tu tusijue kama umeambiwa
 
Jamani eeeh kesho ndio kesho asemae kesho mwongooo changamsheni Uzi kesho boom lilipuke [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kesho ndo kuna wakati hata interview Kwa degree,Diploma na Certificate bado
 
Magereza form4 mshahara laki4 na posho ni laki3=700000,but huwa kuna package ya laki3 kila baada ya miez mi3 package ni hela ya vinywaji .kwa upande wa polisi sijajua
Hiio ya vinywaji ni laki3 pt hata jw
 
Back
Top Bottom