Mr. I don Care
Member
- Nov 20, 2014
- 80
- 144
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah hadi hio PDF itoke tutakua tumekula lonja za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah hadi hio PDF itoke tutakua tumekula lonja za kutosha
Acha wenge kijana yatakua poaDah [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji2363][emoji2363][emoji2363]
Tupo !! Na tareh 10 Ni kesho kwa wale walotupa lonjaMakamanda mpooo?
Tupo !! Na tareh 10 Ni kesho kwa wale walotupa lonja
Huenda wanafany deep selection ili zoezi la usahili liwe rahisi na lisichukue mda mrefu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah Magereza bana sijui shida nini....lakini pengine ile njia yao ya utumwaji maombi kwa email ndio Sababu inayowapa changamoto kuchambua maombi
Huend pia haiwez kuwa rahisi kwa wao kukwambia kuwa siku ya usahili ni lini kwani ni sensitive issue ambayo kiutaratibu wao haiwezi kuwa na mantiki kuiexpose kwa mtu mmoja mmoja na badala yake ni lazima taarifa ziwafikie wote waliotuma maombi na kwa wakati mmoja kwani kumbuka iyo website inaratibiwa makao makuu tofaut na ambavyo ingewez kuwa rahis kwa mikoan ambpo usahili unafanyik kwa nyakat tofauti kulingan na mkoa au huenda pia walikujibu mapema ila feedback zikachelew kukufikia kulingan na sababu za kimtandao....ni wazo tuKabla hio website yao haijawa suspended nilitumaga email nikihoji usaili utafanyika lini Kwa walioomba makao makuu (wenye fani) ni kama week moja imepita nadhani. Sasa leo wamejibu bhn wanasema majina yatatoka yatakapokua tayari... maanake hata majina Bado hayajawa tayari [emoji1787][emoji1787] wazee hapa tunaweza kusubiri sana
Kuna wengine(wenye fani) wametuma maombi Yao kwa posta ...tofauti na email na wao pia itakuwa na changamoto!? Ku compare na email??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah Magereza bana sijui shida nini....lakini pengine ile njia yao ya utumwaji maombi kwa email ndio Sababu inayowapa changamoto kuchambua maombi
Mkuu wale walioomba makao makuu mpka leo bado tu ?Week hii itakua ya motto du
KESHO HUENDA IKAWA SIKU MUHIMU SANA KWETU TULIOOMBA MAGEREZA
Bdo mzee naon bdo wanachakataMkuu wale walioomba makao makuu mpka leo bado tu ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu wale walioomba makao makuu mpka leo bado tu ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Duuh majina ya kwenda Kiwira si watatoa mwakaniBdo mzee naon bdo wanachakata
Wamekula muda ad sio poaDuuh majina ya kwenda Kiwira si watatoa mwakani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Cha msingi hapa ni kuwapotezea na wao, siku wakiona ni sahihi kutupia sawa na wakiona bado pia Ni sawa wakae tu na limkeka lao. Tushawachoka Sasa uchambuzi gani huo wa kukaa mwezi mzima na usaili ushafanyika ngazi ya wilaya kitambo mno.Wamekula muda ad sio poa
Ishu ni kwamba kiwira kuna kozi ya uongozi kwa sajenti wanamaliza mwezi huu kwaiyo ndomana wanavuta usaili mana bora kuchelewa usaili kuliko majibu ya usaili. Hiyo ndo taarifa wakuuCha msingi hapa ni kuwapotezea na wao, siku wakiona ni sahihi kutupia sawa na wakiona bado pia Ni sawa wakae tu na limkeka lao. Tushawachoka Sasa uchambuzi gani huo wa kukaa mwezi mzima na usaili ushafanyika ngazi ya wilaya kitambo mno.
Oh! Kama hiyo ndo sabababu hapo sawa , Asante mkuu kwa hiyo updated news.Ishu ni kwamba kiwira kuna kozi ya uongozi kwa sajenti wanamaliza mwezi huu kwaiyo ndomana wanavuta usaili mana bora kuchelewa usaili kuliko majibu ya usaili. Hiyo ndo taarifa wakuu
Litoke tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah hadi hio PDF itoke tutakua tumekula lonja za kutosha