Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Mmmh labda ngoja tuone kwa sababu hata tovuti yao imekuwa suspended kwa muda pengine wanataka ku upload pdf.

Hao jamaa sjui wanashida gan....kuna kipindi kama 3weeks zilizopita hio tovuti yao ilikua suspended Ivoivo

Ngoja tuone hio kesho
 
LAKINI WAKUBWA IWAPO WATU WATAPATA TUPEANE FEEDBACK HUMU NDANI ILI TUJUANE TUKAENDELEZE UNDUGU DEPO

Tusikimbiane humu kutoa feedback wakuu
 
Hao jamaa sjui wanashida gan....kuna kipindi kama 3weeks zilizopita hio tovuti yao ilikua suspended Ivoivo

Ngoja tuone hio kesho
Dah Basi watakuwa wanazingua ,kikubwa tujipe moyo kuanzia kesho
 
Majibu yanafariji lakini ukisika mtu anamalizia "tetesi nazosikia" Yani inaleta disappointed kdg🙂
 
Majibu yanafariji lakini ukisika mtu anamalizia "tetesi nazosikia" Yani inaleta disappointed kdg[emoji846]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka tunaishi ivo mzee kwa kufarijiana.......hata ule uzi wa polisi ilikua Hivi hivi kufarijiana hadi mwisho wa siku watu wameenda CCP waliobahatika
 
Ni kweli aisee....hawa jamaa wana jambo Lao...
Mimi huwa na sema , kama huna connection, africa kupata kazi ni swala zito Sana, embu check gap la ajira toka enzi za magufuli, operation zilizo rudi nyamban, wahitimu wa vyuo vikuu, kila mwaka 100k wanamaliza, alfu wametoa ajira 8000, ni mambo ya ovyo sana
 
Aisee ni kweli kabisa.....hawa magereza nahisi wanausuka mkeka tu kwa kuweka watu wao...
 
Hii wiki ikikata hawajatoa huo mkeka, ndugu ndo tungojee mpaka december, maana Kuna intake iliwahi kufanyika 14 december , ko nikijaribu kuconnect na kipindi hiki naona kabisa huu mkeka wa Sasa unanunikia December.
 
Sasa kama wakiachia December ina maana course watu wanenda January au..??
 
Back
Top Bottom