Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

IKIFIKA TAREHE 10 magereza HAWAJATOA MAJINA AAAH NDIO BASI TENA
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tarehe 10 bro? Hiyo si december kabisa.

Nimewaza nikaona labda wanataka kutoa tarehe ambayo ndio ilikua deadline ya kutuma maombi.....sasa wakizingua hapo doooh[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nimewaza nikaona labda wanataka kutoa tarehe ambayo ndio ilikua deadline ya kutuma maombi.....sasa wakizingua hapo doooh[emoji38][emoji38][emoji38]
🤣🤣🤣🤣 Kaka unazingua deadline si ilikuwa mwezi jana hii November vipi tena.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka unazingua deadline si ilikuwa mwezi jana hii November vipi tena.

Deadline ya magereza ilikua tar10 mwezi wa kumi.....ndio maana ninajifariji labda wanasubir tar10 mwezi wa 11 ndio watoe maana itakua umekamilika mwezi mmoja kamili....

Nb:NINAJIFARIJIIII na KUJIPA MATUMAINI[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji22]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kaka unazingua deadline si ilikuwa mwezi jana hii November vipi tena.

Kaka vipi wewe uliomba makao makuu..??? Maana naona tunafarijiana sana huenda tukaenda wote depo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka vipi wewe uliomba makao makuu..??? Maana naona tunafarijiana sana huenda tukaenda wote depo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio Kaka niliomba makao makuu, tuombee uzima wakituma lazima tukutane huko.🤣🤣🤣🤣 Tuendelee kuvuta subira
 
Ndio Kaka niliomba makao makuu, tuombee uzima wakituma lazima tukutane huko.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuendelee kuvuta subira

Sawasawa,wacha tusubiri naamini tumo kwenye list,mungu wa kwetu sote [emoji120]
 
Nimeskia kwamba next week inayoanza kesho magereza wanatoa

Ni tetesi lakini....NGOJA TUONE
 
Back
Top Bottom