Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Lonja

Usahili jeshi la magereza wale wa taaluma utafanyikia dodoma,ko watu wajiandae.....kuhusu majina Sijajua ni lini
 
Lonja

Usahili jeshi la magereza wale wa taaluma utafanyikia dodoma,ko watu wajiandae.....kuhusu majina Sijajua ni linp
Pamoja Sana boss...ngoja tusubir wenye kujua mkeka wa Pdf ni lini watatufahamisha
 
Kwa mtakaofanikiwa kuingia kwenye chombo hiki, hakikisheni mnajiendeleza kielimu mpate taaluma yoyote mapema iwezekanavyo.
Laasivyo utaishi sawa tuu na mfungwa ila wa kifungo cha nje. Wafungwa wakiwa kwenye genge shamba juani au kwenye mvua unasimama nao huku umevaa silaha begani hadi ugoro upauke. Wakiwa genge mpunga unazama kwenye tope, wakiwa ndani ya ngome nawe unafungiwa ndani kama centry guard. Hautapanda cheo miaka mitatu ukipewa offensive charge au ukitorokewa na mfungwa(ni rahisi sana kutorokewa endapo utakuwa mkuda na huna mahusiano mazuri na nyampara wa genge lako). Magereza ni jeshi lililosahaulika sana katika nyanja nyingi kutokana na wajelajela wanoko ambao wengine hadi wanakaribia ku staafu ndipo mtu anaambulia jiwe1. Hao watakubana sana usipande, sababu hauna taaluma na ndio ma senior wako waku recomend jina lako kwenda NCO. Kufukuzwa kazi ni njenje, mkuu wa gereza tuu anauwezo wa kukuandikia ukafutwa kazi pasipo kusikilizwa tofauti na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. Wapo askari magereza wengi sana waliofutwa jeshini au kufukuzwa kwa makosa yanayosababishwa na mfumo au mazingira ya kazi na huwa hawasikilizwi kwasababu jeshini ni kutii amri tuu na kutekeleza, no excuse. Tofauti na vyombo vingine ambavyo hadi askari avuliwe gwanda unakuta ni kosa kubwa sana la kijeshina amehojiwa ngazi mbalu mbali na hata kufikishwa mahakama ya kijeshi ndani chombo husika. Jela hakuna hiyo. Yapo mengi sana na mazuri pia yapo kiasi. Chombo hiki kimeanza kuboreka baada ya ujio wa CGP Brigadier General Said Mzee. Huyu mwamba ni mjeshi mjeshi kweli toka JWTZ. Siyo mjelajela hivyo amejitahidi sana kuondoa ule ujelajela wa kizamani na uonevu na askari wengi sana waliokuwa wamesimamishwa au kufutwa bila sababu A masingi za kijeshi wamerudishwa. Nikawaida askari wengine kulipwa hela ya pango na wengine wasipate wakati wote mnaishi nje ya kambi. Yapo mazuri na ya kufurahisha pia.
 
Kwa mtakaofanikiwa kuingia kwenye chombo hiki, hakikisheni mnajiendeleza kielimu mpate taaluma yoyote mapema iwezekanavyo.
Laasivyo utaishi sawa tuu na mfungwa ila wa kifungo cha nje. Wafungwa wakiwa kwenye genge shamba juani au kwenye mvua unasimama nao huku umevaa silaha begani hadi ugoro upauke. Wakiwa genge mpunga unazama kwenye tope, wakiwa ndani ya ngome nawe unafungiwa ndani kama centry guard. Hautapanda cheo ukitorokewa na mfungwa(ni rahisi sana kutorokewa endapo utakuwa mkuda na huna mahusiano mazuri na nyampara wa genge lako). Magereza ni jeshi lililosahaulika sana katika nyanja nyingi kutokana na wajelajela wanoko ambao wengine hadi wanakaribia ku staafu ndipo mtu anaambukia jiwe1. Hao watakubana sana usioande, sababu hauna taaluma na ndio ma senior wako waku recomend jina lako kwenda NCO. Yapo mengi sana na mazuri pia yapo yakutosha. Chombo hiki kimeanza kuboreka baada ya ujion wa CGP Brigadier General Said Mzee. Huyu mwamba ni mjeshi mjeshi kweli toka JWTZ. Siyo mjelajela hivyo amejitahidi sana kuondoa ule ujelajela wa kizamani. Nikawaida askari wengine kulipwa hela ya pango na wengine wasipate wakati wote mnaishi nje ya kambi. Yapo mazuri na ya kufurahisha pia.

Tuambie hayo mazuri...
 
Kwa mtakaofanikiwa kuingia kwenye chombo hiki, hakikisheni mnajiendeleza kielimu mpate taaluma yoyote mapema iwezekanavyo.
Laasivyo utaishi sawa tuu na mfungwa ila wa kifungo cha nje. Wafungwa wakiwa kwenye genge shamba juani au kwenye mvua unasimama nao huku umevaa silaha begani hadi ugoro upauke. Wakiwa genge mpunga unazama kwenye tope, wakiwa ndani ya ngome nawe unafungiwa ndani kama centry guard. Hautapanda cheo ukitorokewa na mfungwa(ni rahisi sana kutorokewa endapo utakuwa mkuda na huna mahusiano mazuri na nyampara wa genge lako). Magereza ni jeshi lililosahaulika sana katika nyanja nyingi kutokana na wajelajela wanoko ambao wengine hadi wanakaribia ku staafu ndipo mtu anaambulia jiwe1. Hao watakubana sana usipande, sababu hauna taaluma na ndio ma senior wako waku recomend jina lako kwenda NCO. Yapo mengi sana na mazuri pia yapo yakutosha. Chombo hiki kimeanza kuboreka baada ya ujio wa CGP Brigadier General Said Mzee. Huyu mwamba ni mjeshi mjeshi kweli toka JWTZ. Siyo mjelajela hivyo amejitahidi sana kuondoa ule ujelajela wa kizamani. Nikawaida askari wengine kulipwa hela ya pango na wengine wasipate wakati wote mnaishi nje ya kambi. Yapo mazuri na ya kufurahisha pia.
Sijui kwanin magereza wanasahaulika hivo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona watu wanasema vyombo vyote vya ulinzi vilivyopo wizara ya mambo ya ndani,kwamba maslahi yao wote ni sawa....au inakuaje mnaposema wamesahaulika..?
Xo kweli kama ndo hivyo kwanini poliisi mwenye degree mfano hizi za social science alipwe 860000 afu askari magereza kwa level hyoo n 750000 hili swala walilijadili bungeni mwakajana kbs

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Xo kweli kama ndo hivyo kwanini poliisi mwenye degree mfano hizi za social science alipwe 860000 afu askari magereza kwa level hyoo n 750000 hili swala walilijadili bungeni mwakajana kbs

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app

Ngoja waje wajuzi watoe maelekezo......mimi sielewi [emoji2371][emoji2371]
 
Kwa mtakaofanikiwa kuingia kwenye chombo hiki, hakikisheni mnajiendeleza kielimu mpate taaluma yoyote mapema iwezekanavyo.
Laasivyo utaishi sawa tuu na mfungwa ila wa kifungo cha nje. Wafungwa wakiwa kwenye genge shamba juani au kwenye mvua unasimama nao huku umevaa silaha begani hadi ugoro upauke. Wakiwa genge mpunga unazama kwenye tope, wakiwa ndani ya ngome nawe unafungiwa ndani kama centry guard. Hautapanda cheo ukitorokewa na mfungwa(ni rahisi sana kutorokewa endapo utakuwa mkuda na huna mahusiano mazuri na nyampara wa genge lako). Magereza ni jeshi lililosahaulika sana katika nyanja nyingi kutokana na wajelajela wanoko ambao wengine hadi wanakaribia ku staafu ndipo mtu anaambulia jiwe1. Hao watakubana sana usipande, sababu hauna taaluma na ndio ma senior wako waku recomend jina lako kwenda NCO. Yapo mengi sana na mazuri pia yapo yakutosha. Chombo hiki kimeanza kuboreka baada ya ujio wa CGP Brigadier General Said Mzee. Huyu mwamba ni mjeshi mjeshi kweli toka JWTZ. Siyo mjelajela hivyo amejitahidi sana kuondoa ule ujelajela wa kizamani. Nikawaida askari wengine kulipwa hela ya pango na wengine wasipate wakati wote mnaishi nje ya kambi. Yapo mazuri na ya kufurahisha pia.
👏👏
 
Duuuh tar4 inaenda kupita tena aisee.....
 
Back
Top Bottom