Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzeeeee pambania hzi Kwanza hzo za TPDF kutoboa huwa nadra Sana Kama upo mtaaani pia zinakuaga na connection nyingi mno tofaut na hzo za Mambo ya ndaniHivi TPDF( Jeshi la wananchi) wao wanatoa lini nafasi za ajira ambaye anafaham lonja yoyote atufahamishe aise
Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuangusha hapa tujueMzeeeee pambania hzi Kwanza hzo za TPDF kutoboa huwa nadra Sana Kama upo mtaaani pia zinakuaga na connection nyingi mno tofaut na hzo za Mambo ya ndani
Usaili Ni muhimu Sana kabla kwenda depo, sema tu wameamua kukausha ili wawaweke ndugu zao kwanzivi TPDF( Jeshi la wananchi) wao wanatoa lini nafasi za ajira ambaye anafaham lonja yoyote atufahamishe aise
Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuanguhao
Happy wanachukuliaga Kambini labda uwe na mtu was kukuchopeka kule, bila hapo hutoboiKupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuangusha hapa tujue
Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuangusha hapa tujue
Kama Ni siku hizo ikitoka inatoka ya wote,maana Usaili wa mwisho upo mkoani ambapo kwa wale wenye taaluma mbalimbali walituma maombi yao.kwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo
kwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo
Kwani wenye taaluma walituma mikoani? Au makao makuuKama Ni siku hizo ikitoka inatoka ya wote,maana Usaili wa mwisho upo mkoani ambapo kwa wale wenye taaluma mbalimbali walituma maombi yao.
Kwani wenye taaluma walituma mikoani? Au makao makuu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Yatatoka usiwe na hofuAta mimi sielewi ila nakumbuka,,,taaluma tulituma makao makuu vilee
Yatatoka usiwe na hofu
Yanatoka Kwa ajili ya usaili au ya wanaoenda kozi?Yatatoka usiwe na hofu
UsailiYanatoka Kwa ajili ya usaili au ya wanaoenda kozi?
Ok, ndo hyo trh 3/4 aliyosema mdau hapo juu?Usaili
Namimi nilisikia hvyohvyo kuwa ni November ila vzr kwa confirmation..Kuna afande mmoja aliniambia tetesi ni November hii......japo wengine wanasema ni December
Ko tusikilizie miezi hiiii nadhani itaeleweka tuu
Tunashukuru boss kwa mrejeshokwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo
Inategemea umeitwa kwenye kada ipi?Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Zikipita hizo tarehe, ndo mpaka desember.Ok, ndo hyo trh 3/4 aliyosema mdau hapo juu?