Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Hivi TPDF( Jeshi la wananchi) wao wanatoa lini nafasi za ajira ambaye anafaham lonja yoyote atufahamishe aise
 
Mzeeeee pambania hzi Kwanza hzo za TPDF kutoboa huwa nadra Sana Kama upo mtaaani pia zinakuaga na connection nyingi mno tofaut na hzo za Mambo ya ndani
 
Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuangusha hapa tujue
 
Usaili Ni muhimu Sana kabla kwenda depo, sema tu wameamua kukausha ili wawaweke ndugu zao kwanzivi TPDF( Jeshi la wananchi) wao wanatoa lini nafasi za ajira ambaye anafaham lonja yoyote atufahamishe aise

Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuanguhao

Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuangusha hapa tujue
Happy wanachukuliaga Kambini labda uwe na mtu was kukuchopeka kule, bila hapo hutoboi
 
Kupambania tunapambania ila muhim kujua tu dodoso zake kama ni lini na wao watafanya hvyo hata kama Wana connection..Mungu mbona nae ni connection tosha mzee...kama unajua za chini chini fanya kuangusha hapa tujue

Kuna afande mmoja aliniambia tetesi ni November hii......japo wengine wanasema ni December

Ko tusikilizie miezi hiiii nadhani itaeleweka tuu
 
kwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo
 
Kama Ni siku hizo ikitoka inatoka ya wote,maana Usaili wa mwisho upo mkoani ambapo kwa wale wenye taaluma mbalimbali walituma maombi yao.
 
kwa wale wa magereza pdf inatoka tar 3/4 hyo ni sure 100% ,sasa sijui ni wa 4m4 tu au vp, source ni tulioaplai kwa level ya chet Tunduru tumeambiwa hvyo

Kwani hii pdf ni kwa ajili ya usaili...????au kwa ajili ya kwenda course mkuu..?
 
Kuna afande mmoja aliniambia tetesi ni November hii......japo wengine wanasema ni December

Ko tusikilizie miezi hiiii nadhani itaeleweka tuu
Namimi nilisikia hvyohvyo kuwa ni November ila vzr kwa confirmation..
 
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Inategemea umeitwa kwenye kada ipi?
Wataalam kama wahasibu,madokta,wahandisi au wale wa kushika rungu tu
 
Back
Top Bottom