Msaada interview za Jeshi la Magereza

Daah mzeee ngoja tuone watataja vipaumbele gani
Jw muda mwingine wajanja sana hawa ,, unaweza subria kutaja vipaumbele ,lkn wap maana ,hawafanyishagi usahili mtaani zaidi ya kuita watu wakafanyie usahili rts ,,yaani hapo ndo tutachoka tulio mtaani ..... Mungu atusaidie maana ambao hatuna watu mmmh
 
Kwamba hawa hawanaga mambo ya kutuma maombi.????
 
Jw muda mwingine wajanja sana hawa ,, unaweza subria kutaja vipaumbele ,lkn wap maana ,hawafanyishagi usahili mtaani zaidi ya kuita watu wakafanyie usahili rts ,,yaani hapo ndo tutachoka tulio mtaani ..... Mungu atusaidie maana ambao hatuna watu mmmh

Usaili mara nyingiii unafanyikia pale kurasini pale
 
Jw muda mwingine wajanja sana hawa ,, unaweza subria kutaja vipaumbele ,lkn wap maana ,hawafanyishagi usahili mtaani zaidi ya kuita watu wakafanyie usahili rts ,,yaani hapo ndo tutachoka tulio mtaani ..... Mungu atusaidie maana ambao hatuna watu mmmh
Duh hiyo balaa sasa
 
Swali langu ni kwamba je Mujibu wa sheria wanachukua? Au ndo tupambane na hali zetu.?

Hawa jamaa hawatakagi kigezo cha jkt kwanza labda waanze mwaka huu

Na kama wakitaka jkt hata wewe mujibu unahusika
 
Swali langu ni kwamba je Mujibu wa sheria wanachukua? Au ndo tupambane na hali zetu.?
Hatujui bro japo nasikiaga wanawapendeleaga wale wa kujitolea eti ,cjui kwann yaani au cjui wanachukua wale fom 6 baada ya depo letu la miez 3 mujibu, mwnye kujua hatufahamishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…