kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
PGO ni ya polisi Magereza yao ni tofautiUtaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.
Nyie mnaoenda kuwa mapoliccm jitahidini muijue PGO maana mpaka RPC haijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PGO ni ya polisi Magereza yao ni tofautiUtaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.
Nyie mnaoenda kuwa mapoliccm jitahidini muijue PGO maana mpaka RPC haijui.
majibu mnapewa siku hiyo hiyo.
Kama ulisoma tangazo vizuri walitangaz wenye degree,certificate, na diplomaKwanza magereza hawajataka wenye certificates....labda utuambie uliomba kama form 4 vinginevyo sio kweli kwa hivo unavosema umeitwa kama nurse
Waziri wa ulinzi anaitwa Nani? Mkuu wa magereza anaitwa Nani?Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Kama ulisoma tangazo vizuri walitangaz wenye degree,certificate, na diploma
Wakati mwingine haina aja ya kukalili jmn form six hawakutajwa lkn walioomba wameitwa kwenye interview kwaio sometimes jeshi halinaga formula maalumuView attachment 1974985
Kuna certificate ya uuguzi hapo..????labda izo kozi za veta sijui wakisema levelw2,3 ni kama ndio certificate au vip....
Lakini ninachokisemea mimi kozi za afya hawajataka CERTIFICATE.
Magereza yao ni nin ndo mtuambie sasaPGO ni ya polisi Magereza yao ni tofauti
magereza mchaw urefuMagereza yao ni nin ndo mtuambie sasa
magereza mchaw urefu
futi 5.4 -5.7 sio mchezo mkuuNoma
Hawana specific question(s)Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Kwenye readiness hapo inakuaje aise naomba kujuzwa samhn lknHawana specific question(s)
- Jiweke tayari wanaweza kuwapa general written test kulingana na elimu yako (kama ni sekondari wanatoa CIVICS related questions/general knowledge)
- Kama ni university/college level hauulizwi maswali zaidi ya ku-cross check ufahamu wako
- Hasa hakikisha unakwenda na copies za vyeti pamoja na originals
- Wanaangalia physical fitness and readiness ya kujiunga
Kwan police walichukua urefu ganNoma
Duh kweli magereza kiboko5’3 female
5’5 male
Duh kweli magereza kiboko
Alafu magereza kuna watu wameitwa interview ht vyeti vya jkt hawana aiseIla kama una connection hata uwe na 4’0 unapata [emoji23][emoji23]
Wameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sanaAlafu magereza kuna watu wameitwa interview ht vyeti vya jkt hawana aise
Wameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sana