Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

majibu mnapewa siku hiyo hiyo.

Kwamba utaratibu wa magereza usaili wao upo tofauti na polisi...kwamba magereza majibu ni hapo hapo..?? Au mimi ndio sijaelewa
 
Kwanza magereza hawajataka wenye certificates....labda utuambie uliomba kama form 4 vinginevyo sio kweli kwa hivo unavosema umeitwa kama nurse
Kama ulisoma tangazo vizuri walitangaz wenye degree,certificate, na diploma
 
IMG_8170.jpg

Kuna certificate ya uuguzi hapo..????labda izo kozi za veta sijui wakisema levelw2,3 ni kama ndio certificate au vip....
Lakini ninachokisemea mimi kozi za afya hawajataka CERTIFICATE.
 
View attachment 1974985
Kuna certificate ya uuguzi hapo..????labda izo kozi za veta sijui wakisema levelw2,3 ni kama ndio certificate au vip....
Lakini ninachokisemea mimi kozi za afya hawajataka CERTIFICATE.
Wakati mwingine haina aja ya kukalili jmn form six hawakutajwa lkn walioomba wameitwa kwenye interview kwaio sometimes jeshi halinaga formula maalumu
 
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
Hawana specific question(s)
  1. Jiweke tayari wanaweza kuwapa general written test kulingana na elimu yako (kama ni sekondari wanatoa CIVICS related questions/general knowledge)
  2. Kama ni university/college level hauulizwi maswali zaidi ya ku-cross check ufahamu wako
  3. Hasa hakikisha unakwenda na copies za vyeti pamoja na originals
  4. Wanaangalia physical fitness and readiness ya kujiunga
 
Kwenye readiness hapo inakuaje aise naomba kujuzwa samhn lkn
 
Alafu magereza kuna watu wameitwa interview ht vyeti vya jkt hawana aise
Wameita hadi wasio na vigezo wengi, mfano usahili uliofanyika Jana Dodoma gereza la isanga wamerudishwa wengi sana yaan unaulizwa mwenyewe kama huna unatolewa kwa speed nyingi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]et kwa speed nyingiii sana
 
Back
Top Bottom