Msaada interview za Jeshi la Magereza

Sahihi....kwa kuongezea jwtz wakitaka specila course mara nyingiii huaga wanakuja kuchukua uraiani ko wanatoa tar ya usaili mnaenda kufanya usaili pale kurasini kwenye kambi yao ya jwtz
 
Daaah Hivi awa Watu wa magereza hizi lawama na manung’uniko haziwafikiii nin.????duuuh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nashukuru sana kwa kuelewa wapi nilihtaji kujibiwa na umenijibu vizuri kwa kiasi unachojua na ninashukuru katika Hilo...lakin naomba niulize tena kwamba "kama umepitia tayari JKT na ukawa mtaani na unataka kuingia jwtz hapo utaratibu upoje??? Yani utaratibu unakuwaje pia??
 
Hapo mkuu wangu ukiwa mtaani na ushapita JkT kuna mawili tu , itokee uhitaji wa askari nje ya kambi (mtaani) , uwe na taaluma maalumu hasa udaktari au uwe na mbanga (connection) , ndiyo njia rasmi za kuingia JW.
 
Hivi ikitokea wasipohitaji watu wa mtaani.....haiwezekani ukapachikwa kihangaiko uko kama una mbanga...
 
Waaaaazzzz afande.....ngoja tusubir lazima watataka wataalamu tuu
Ebu assume ikatokea mara paaa jwtz wakatak fani mbalimbali kutoka uraiani na ikatokea siku ambayo watatenga kwa ajili ya usahili dsm kurasini ikawa ndio hiyohiyo siku ambayo magerz wakataka watu wakafany usaili dodom msalato.,,apo ndo kitaumana kila mtu akimbilie wap,,,vp kamanda ikitokea ivo wew kimbilio litakua wp?
 
Daah kwakua mimi jw nina mbanga nzitto hahaha magereza naachaaa
 
Daah kwakua mimi jw nina mbanga nzitto hahaha magereza naachaaa
Hahahaha....basi naamin mpka apo tunaweza kupata lonja au jibu la moja kwa moja juu ya kile kinacholeta utata kwa vijana wengi walio nje ya makambi juu ya uwezkno wa jwtz kuchukua vijana uraiani au makambini tupu...tusaidie kutuulizia kwa huo mbanga wako mzito hii issue imekaaje
 
Sahihi....kwa kuongezea jwtz wakitaka specila course mara nyingiii huaga wanakuja kuchukua uraiani ko wanatoa tar ya usaili mnaenda kufanya usaili pale kurasini kwenye kambi yao ya jwtz
Nashukuru sana Mr..kwa nyongeza nimezidi kuelewa
Sahihi....kwa kuongezea jwtz wakitaka specila course mara nyingiii huaga wanakuja kuchukua uraiani ko wanatoa tar ya usaili mnaenda kufanya usaili pale kurasini kwenye kambi yao ya jwtz
 
Update
Uraiani pia watachukua wataalamu....afya,elimu,engeneers na wahasibu pia...
 
Hapo mkuu wangu ukiwa mtaani na ushapita JkT kuna mawili tu , itokee uhitaji wa askari nje ya kambi (mtaani) , uwe na taaluma maalumu hasa udaktari au uwe na mbanga (connection) , ndiyo njia rasmi za kuingia JW.
Hapo nimekuelewa vilivyo mkuu aise... nashukuru Sana kwa feedback nzuri na umeeleweka na najua wengi wamejifunza
 
Update
Uraiani pia watachukua wataalamu....afya,elimu,engeneers na wahasibu pia...
Sina uhakika na hii ,coz kuna vijna wa kujitolea wanataaluma za engineering, uhasibu,elimu na zingine kasolo za afya ,,ngoja tuone aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…