Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Sina uhakika na hii ,coz kuna vijna wa kujitolea wanataaluma za engineering, uhasibu,elimu na zingine kasolo za afya ,,ngoja tuone aisee
Wanaweza wakawepo ila kwa uchache sana na idadi yao isikidhi mahitaji ya jeshi kwa ujumla
 
Yote ya Yote nafasi za Jw zikitoka tu hata kama wasipotaka wa uraiani tushtuane tu...Yani ijulikane tu kuwa zimetoka basi inatosha kuhangaika Hadi kieleweke...Cha muhim wakuu tushtuane zikitoka nafasi za ajira JW
 
Wakt nasikia vijana ka 3014 wanaripoti rts Kihangaiko kuanzia trh 23 nov ,na watapokelewa ,hyo nasikia ni taarifa ya ukweli eti ,
 
Magereza[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wakuu jaman magereza wanatuzingua sana.....inamaana hawayapati haya malalamiko.??? Au ni dharau tuu[emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji2363]
 
Wakuu jaman magereza wanatuzingua sana.....inamaana hawayapati haya malalamiko.??? Au ni dharau tuu[emoji2363][emoji2363][emoji2363][emoji2363]
😄😄kijana una morali😁 ya hatarii..Cha muhim fanya mambo mengine huku unasikilizia yakitoka sawah yasipotoka endelea kupambana maana hakuna Namna Mungu atafungua njia tu
 
Back
Top Bottom