Kizazijeuri
Member
- Sep 1, 2021
- 66
- 20
Wanaweza wakawepo ila kwa uchache sana na idadi yao isikidhi mahitaji ya jeshi kwa ujumlaSina uhakika na hii ,coz kuna vijna wa kujitolea wanataaluma za engineering, uhasibu,elimu na zingine kasolo za afya ,,ngoja tuone aisee