Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kibali kimetolewa lakini info kwamba wamefanya kimya kimya ambayo watu wanasema tayari sio kweli...mamb hayawez kwenda kmyakmya lazma watoe update...kwahyo tusikilizie tu update km wakija chukua uraiani kwahyo Imani inabidi tuendelee kuwa nayo ya kusikilizia anytime wakisema

Yah you are right bro..!
 
Tuache utani.. wale wa MAGEREZA. nitumie jina lako inbox nikuangalizie kama upo au haupo kwenye list. Ili maisha yaendelee..

N.b
Majina yako zaidi ya 2500
 
Dah mshikaji unapiga biti.?????? Yaaan ajira 700 halafu waite usaili watu2500???????????????? Never ever
Usaili upi Tena?? Usaili ulishafanyika. Watu walipigiwa simu wakaja msalato kwenye usaili. Wengine walichukuliwa makambini jkt moja Kwa moja. Poa wapo waliofanya usaili ngazi ya wilaya na mkoa. [emoji1][emoji1]
 
Sawa usaili ulifanyika sikatai,lakini sio kwa wenye taaluma hao bado usaili haujafanyika na ndio watu wanasubiria majina kwa ajili ya usaili na sio kwa ajili ya kwenda kozi.
 
Sawa usaili ulifanyika sikatai,lakini sio kwa wenye taaluma hao bado usaili haujafanyika na ndio watu wanasubiria majina kwa ajili ya usaili na sio kwa ajili ya kwenda kozi.
Kama haukupigiwa simu. Pole Sana. Usaili tayari
 
Huyu kiongozi anazingua , hicho kitu hakipo ,acha kuwapa watu mtero .

Anajaribu kutulisha matango pori ila bado hajaweza na hatoweza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Let’s look this week[emoji13][emoji13][emoji13]wakituzingua na hii week.????? [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]magereza tunawasusa...
 
Hakuna kitu kama hiko ndugu kua Muelewaaa....

Ok fine tufanye huo mkeka wako umeuona let me ask you....ajira zilitoka 2500.????? Au 700.?????
Ilo suala la simu hata mm nmelisikia ebu jarbuni kutafuta kiundani zaid
 
Naona saivi znatoka lonja za kumpoteza malole ajira 10000 za jeshi seriously?

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Siku zote jeshi hawawi specific, elewa wakisema ajira 6000 ujue ni zaid ya hapo. Hili la elfu kumi sikatai, inaweza ikawa na ukweli ndani yake. Tusubirie

Af kingine vip kuhusu zile za PT, bado kuna watu wa online hawajapigiwa simu, kuna mtu alisema watakuja na mkeka wa watu 700
 
Wazee elfu 10 ni nyingiii sana haiwezi ikawa idadi hio
 
Back
Top Bottom