Leo mabeo katoa #pressrelease. Nimemsikiliza kwa makin, lakin sijaona mahali alipotaja kuhusu ajira, nilicho msikia, kuwa wanahitaji jeshi dogo linalo cover eneo kubwa.
Pia, amegusia huaba wa bajeti na mambo ya husuyo jeshi, pia amezungumzia maswala ya usalama wa nchi na historia ya jeshi
Kwa kauli yake ya jeshi dogo na technologia, inamaana kuwa hawata ajiri kwa wingi kama lonja za huku zinavyo sema.
Pia amegusia ufinyu wa bajet na mashirika ya jeshi kwa maana hiyo, vijana wa mtaani tujiandae kisikologia kwa idadi ndogo watakayo tangaza.
Licha ya hivyo nimegundua kuwa jeshi linahitaji wataalamu wengi sana, lakin inaonekana msaada kutoka kwa wakubwa unakuwa changamoto kwan baadhi ya kauli zake alikua akitupia lawama kwenye uongozi wa kiraia.
Lakin yote ya yote jeshi linafanya kazi kubwa sana