Nikwambie kwa kifupi labda, sijawahi kupigiwa simu kutoka huko Magereza na jina langu lipo hapo. Tuishie hapoHayo majina ndio waliopigiwa simu na kufanya usaili wa kwanza Wengine wameachwa. Hayo majina ni ya usaili wa pili. Na usaili huo utahusu Mambo madogo madogo. Inshort wengi wao wataenda kiwira. Wewe endelea kufura hapo. Ukiambiwa tafuta kitu kingine Cha kufanya huaminii
Aya umeletewa pdf hukuhuku angaliaWebsite uliyoingia ww mbn mm sion kitu km hicho??
Kwnn unasema hvo?Hapa vijana wengi watakuwa wamesha chukuliwa na polisi, uhamiaji, na wengine ndio hao TPDF imechukua.
Jina lako umeliona huko au umelala? pdf tayari huko ya magereza
Hayo majina ndio waliopigiwa simu na kufanya usaili wa kwanza Wengine wameachwa. Hayo majina ni ya usaili wa pili. Na usaili huo utahusu Mambo madogo madogo. Inshort wengi wao wataenda kiwira. Wewe endelea kufura hapo. Ukiambiwa tafuta kitu kingine Cha kufanya huaminii
Leo mabeo katoa #pressrelease. Nimemsikiliza kwa makin, lakin sijaona mahali alipotaja kuhusu ajira, nilicho msikia, kuwa wanahitaji jeshi dogo linalo cover eneo kubwa.
Pia, amegusia huaba wa bajeti na mambo ya husuyo jeshi, pia amezungumzia maswala ya usalama wa nchi na historia ya jeshi
Kwa kauli yake ya jeshi dogo na technologia, inamaana kuwa hawata ajiri kwa wingi kama lonja za huku zinavyo sema.
Pia amegusia ufinyu wa bajet na mashirika ya jeshi kwa maana hiyo, vijana wa mtaani tujiandae kisikologia kwa idadi ndogo watakayo tangaza.
Licha ya hivyo nimegundua kuwa jeshi linahitaji wataalamu wengi sana, lakin inaonekana msaada kutoka kwa wakubwa unakuwa changamoto kwan baadhi ya kauli zake alikua akitupia lawama kwenye uongozi wa kiraia.
Lakin yote ya yote jeshi linafanya kazi kubwa sana
Mkuu kwa uandishi huu kama ni askari basi ni Wale wasio na chochote begani, yaan private na hutokaa upate cheo. Na kama bado unapambania kupata huwezi kupata maana unaonekana wazi ulikimbia SHULE.Leo mabeo katoa #pressrelease. Nimemsikiliza kwa makin, lakin sijaona mahali alipotaja kuhusu ajira, nilicho msikia, kuwa wanahitaji jeshi dogo linalo cover eneo kubwa.
Pia, amegusia huaba wa bajeti na mambo ya husuyo jeshi, pia amezungumzia maswala ya usalama wa nchi na historia ya jeshi
Kwa kauli yake ya jeshi dogo na technologia, inamaana kuwa hawata ajiri kwa wingi kama lonja za huku zinavyo sema.
Pia amegusia ufinyu wa bajet na mashirika ya jeshi kwa maana hiyo, vijana wa mtaani tujiandae kisikologia kwa idadi ndogo watakayo tangaza.
Licha ya hivyo nimegundua kuwa jeshi linahitaji wataalamu wengi sana, lakin inaonekana msaada kutoka kwa wakubwa unakuwa changamoto kwan baadhi ya kauli zake alikua akitupia lawama kwenye uongozi wa kiraia.
Lakin yote ya yote jeshi linafanya kazi kubwa sana
Mkuu kwa uandishi huu kama ni askari basi ni Wale wasio na chochote begani, yaan private na hutokaa upate cheo. Na kama bado unapambania kupata huwezi kupata maana unaonekana wazi ulikimbia SHULE.
hongera mzeeAcha makasiriko mjuba kana kwamba unamjua kila mtu humu jf....... BORA UPIGE KIMYA TUU
Kama huelewi ujue mwandishi hajakulenga ww.Mkuu kwa uandishi huu kama ni askari basi ni Wale wasio na chochote begani, yaan private na hutokaa upate cheo. Na kama bado unapambania kupata huwezi kupata maana unaonekana wazi ulikimbia SHULE.
Ndo hasara za kuwa jobless, unastress, unadhan utaelewa, tafta kaz kijana, achana na stress za mitandaoniMkuu kwa uandishi huu kama ni askari basi ni Wale wasio na chochote begani, yaan private na hutokaa upate cheo. Na kama bado unapambania kupata huwezi kupata maana unaonekana wazi ulikimbia SHULE.
hongera mzee
Mkuu hongera kwa kuitwa kwenye usaili... mimi Tpdf hii bora nianze kulima tushukran sana mkuu[emoji120][emoji120]
Kuu nikuulize tu swali, saivi vijana si wapo kihangaiko? Kuna nafas gan zitatangazwa tena mkuu?Leo mabeo katoa #pressrelease. Nimemsikiliza kwa makin, lakin sijaona mahali alipotaja kuhusu ajira, nilicho msikia, kuwa wanahitaji jeshi dogo linalo cover eneo kubwa.
Pia, amegusia huaba wa bajeti na mambo ya husuyo jeshi, pia amezungumzia maswala ya usalama wa nchi na historia ya jeshi
Kwa kauli yake ya jeshi dogo na technologia, inamaana kuwa hawata ajiri kwa wingi kama lonja za huku zinavyo sema.
Pia amegusia ufinyu wa bajet na mashirika ya jeshi kwa maana hiyo, vijana wa mtaani tujiandae kisikologia kwa idadi ndogo watakayo tangaza.
Licha ya hivyo nimegundua kuwa jeshi linahitaji wataalamu wengi sana, lakin inaonekana msaada kutoka kwa wakubwa unakuwa changamoto kwan baadhi ya kauli zake alikua akitupia lawama kwenye uongozi wa kiraia.
Lakin yote ya yote jeshi linafanya kazi kubwa sana
Sijasema hajaeleweka mzee, ila kwa uandishi ule ni FORM IV aliyefeli. Atafute muda akajiendeleze kidogo ili kuficha aibu kama hizi.Kama huelewi ujue mwandishi hajakulenga ww.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ajifunze kuandika vizuri. Yaan maelezo yamejaa unanga tupu. Ukute wakati anaandika alikuwa anavunja matofali akiamini ndio ukamanda. Kwa uandishi ule kama ni askari basi tuna safari ndefu sana ya kiteknolojia.Acha makasiriko mjuba kana kwamba unamjua kila mtu humu jf....... BORA UPIGE KIMYA TUU
Mkuu hongera kwa kuitwa kwenye usaili... mimi Tpdf hii bora nianze kulima tu
All the bestHongereni wote ambao kwa rehema za mungu majina yetu yameonekana kwenye mkeka wa usaili wa magereza,hii ni hatua kubwa sana[emoji120][emoji120][emoji120]
MUNGU AWE NASI TUFANYE VIZURII KWENYE USAILI
Pamoja sana mkuuShukran sana kaka....[emoji120][emoji120][emoji120]
Skilizia tuu watatoa mzee,hakuna kukata tamaa mkuu...