Huwezi kutishw na mtaa na maisha af uje utishwe na mtu mmoja JF kuhusu kazi uliyoomba... Ni kupambana tu
Itakuwa ya kutuma makao makuu kama uhamiaji au itaanzia wilayani ? Maana yeyote atakaye kuja sahivi wakianzia wilayani itakuwa vizuri zaidi maana gharama nazo sio poaIla nimepata ronja kuna intake nyengine ya magereza watakuja kutaka watu Sababu watu wengi wameshakwenda upolisi
Kikubwa tusichafue damu wakulungwa safari hii haachwi mtu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kabisapoint hii[emoji4][emoji4] MCHAWI DAMUUU
Sijui itakuwajeItakuwa ya kutuma makao makuu kama uhamiaji au itaanzia wilayani ? Maana yeyote atakaye kuja sahivi wakianzia wilayani itakuwa vizuri zaidi maana gharama nazo sio poa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Namna hiyo mwanangu ..kozi njema mumalize salama [emoji120]LONJA...magereza wataongeza nafasi...jiandaeni wadau ambao bado hamjabahatika
Sisi wengine tukutane jumamos inshaallah tukapambane
ALL THE BEST BEST WADAU MNAOENDELEA KUOMBA HIZI NAFASI.....never give up[emoji1320][emoji1320]
TUOMBEANEEE[emoji120][emoji120]
Namna hiyo mwanangu ..kozi njema mumalize salama [emoji120]
Hii sio kauli ya kuwaambia askari walioaminiwa na kupitishwa kati ya wengi.
Amechukuliwa kambini au kitaa ?Lakini issue ni kwamba yale majina yaliotoka kuna watu hawatoripoti kuna jamaa wameenda MSATA,halafu na huku magereza nako kapata ko wameenda msata
Buloo Kila mtu ana mipango yake kama wewe uliona upuuzi kaa utulie wao wakiona upuuzi nao watajikataa tu!!Wakati unapambana kuwa askari ujue kuna watu walishaona yaliyomo kwenye uaskari wakajua ni upuuzi kama upuuzi mwingine by experience sio hadithi.
Kapige kazi Chief
Mungu akutangulie mkuu...Mungu mwema sikuzote ulipoenda amekusudia kitu kwaajili Yako Cha Muhim KUKAZA...LONJA...magereza wataongeza nafasi...jiandaeni wadau ambao bado hamjabahatika
Sisi wengine tukutane jumamos inshaallah tukapambane
ALL THE BEST BEST WADAU MNAOENDELEA KUOMBA HIZI NAFASI.....never give up[emoji1320][emoji1320]
TUOMBEANEEE[emoji120][emoji120]
Uzi utaukuta usiwaze mkuu Cha muhim Ukakaze na mambo yatakuwa sawa tu...Kunguru wa Manzese
Gpili
Abrah GI
chlorine gas
muuchangamshe uzi huu kwa ajili ya uhamiaji na takukuru
Mimi nasepa kiwira
Tuombeane wadau bado safari ndefu,tukirud mwezi wa 7 tutawasabahi ndugu zetu[emoji120][emoji120]
ALL THE BEST WAKUU.....never give up[emoji1320][emoji1320]
Vipi, uraiani watakuja?View attachment 2082723Usahili wa TpDf umeanza leo aisee vikosini