Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Ila nimepata ronja kuna intake nyengine ya magereza watakuja kutaka watu Sababu watu wengi wameshakwenda upolisi
 
Huwezi kutishw na mtaa na maisha af uje utishwe na mtu mmoja JF kuhusu kazi uliyoomba... Ni kupambana tu
 
Ila nimepata ronja kuna intake nyengine ya magereza watakuja kutaka watu Sababu watu wengi wameshakwenda upolisi
Itakuwa ya kutuma makao makuu kama uhamiaji au itaanzia wilayani ? Maana yeyote atakaye kuja sahivi wakianzia wilayani itakuwa vizuri zaidi maana gharama nazo sio poa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
LONJA...magereza wataongeza nafasi...jiandaeni wadau ambao bado hamjabahatika

Sisi wengine tukutane jumamos inshaallah tukapambane

ALL THE BEST BEST WADAU MNAOENDELEA KUOMBA HIZI NAFASI.....never give up[emoji1320][emoji1320]

TUOMBEANEEE[emoji120][emoji120]
 
Lakini issue ni kwamba yale majina yaliotoka kuna watu hawatoripoti kuna jamaa wameenda MSATA,halafu na huku magereza nako kapata ko wameenda msata
 
LONJA...magereza wataongeza nafasi...jiandaeni wadau ambao bado hamjabahatika

Sisi wengine tukutane jumamos inshaallah tukapambane

ALL THE BEST BEST WADAU MNAOENDELEA KUOMBA HIZI NAFASI.....never give up
[emoji1320][emoji1320]

TUOMBEANEEE[emoji120][emoji120]
Namna hiyo mwanangu ..kozi njema mumalize salama [emoji120]
 
Hii sio kauli ya kuwaambia askari walioaminiwa na kupitishwa kati ya wengi.

Wakati unapambana kuwa askari ujue kuna watu walishaona yaliyomo kwenye uaskari wakajua ni upuuzi kama upuuzi mwingine by experience sio hadithi.

Kapige kazi Chief
 
Wakati unapambana kuwa askari ujue kuna watu walishaona yaliyomo kwenye uaskari wakajua ni upuuzi kama upuuzi mwingine by experience sio hadithi.

Kapige kazi Chief
Buloo Kila mtu ana mipango yake kama wewe uliona upuuzi kaa utulie wao wakiona upuuzi nao watajikataa tu!!
 
LONJA...magereza wataongeza nafasi...jiandaeni wadau ambao bado hamjabahatika

Sisi wengine tukutane jumamos inshaallah tukapambane

ALL THE BEST BEST WADAU MNAOENDELEA KUOMBA HIZI NAFASI.....never give up
[emoji1320][emoji1320]

TUOMBEANEEE[emoji120][emoji120]
Mungu akutangulie mkuu...Mungu mwema sikuzote ulipoenda amekusudia kitu kwaajili Yako Cha Muhim KUKAZA...
 
Mambo Siku hizi naona yamekuwa tight hawa jamaa naona wanaweza wasije uraiani ila hata wakija hapo connection zitatembea sio poa

Watu wengi wanapenda sana kitenge

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna uwezekano wakachukua uraiani lakini kwa fani watakazokuwa na uhitaji nao kwa wakati huo...ila uraiani napo ni muhim huwa hawaachi kufanya hvyo
 
Back
Top Bottom