Msaada interview za Jeshi la Magereza

Cha muhim watu tuzidi kupambana hakuna kukata tamaa...Pesa ndo kiwango Cha heshima utakachopewa na wanadamu hvyo ndo waswahili wanasema kwahiyo tupambane kwa kufanya kazi huku tukisubiri heri kwa Yale matakwa ya kupata kwenda Jeshi lolote Kati ya majeshi yote Tz
 
Ni wazi walioenda Magereza ndio walikuwa active Humu ndani!!!

Sahv kumepoa sana
 
Makamanda mmepoa Sana shida Nini au mmepata mteru wa kukata tamaa mapema hivii kwli!!
 
Uhamiaji round ya kwanza walichukua mda gani kutoka siku ya deadline Hadi kutoa pdf ya usahili km mtu anakumbuka vzr asaidie hapa
 
Majuzi hapo mjini tanga nilikutana na Askari wapya wanachukuliwa na nacharo wanapelekwa boma kichakamiba kozi ya uhamiaji ..I wish next bog nitakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…