ipulunganya
Senior Member
- Apr 18, 2021
- 115
- 119
Ila kumbuka PGO inafundishwa chuoni baada ya kupata nafasi au unafikiri ni somo la mtaani?Utaambiwa usome section 288 ya PGO, ukishindwa kazi huna.
Nyie mnaoenda kuwa mapoliccm jitahidini muijue PGO maana mpaka RPC haijui.