Msaada interview za Jeshi la Magereza

Aisee hapa tumefanana, yaani huo utiifu nitafanya usipime kabisa
 
Wanangu hilo ndio gari la mwisho siye tuloachwa tupambaneni huku mitaani mungu ataleta rehma zake
 
Jamaa hawajafika hadi sasa, Kuna maafande wako off leo lakini wameshavaa uniform kuwasubiri misukule Ili wawapigishe Introduction to college
 
Alipigiwa na watu wa magereza au chombo kingine
Alipigiwa na watu wa magereza..na vilevile professional yake Kuna mdada namjua alichaguliwa lakini kumbe hajaenda kuripoti kiwila kwahyo Kati ya nafasi zilizokuwa za hyo professional bht nzuri nilikuwa nawafaham kwahyo akasema yule mdada hajaripoti...baadae akapigiwa reserve huyo rafiki yangu mwingine lakini Kati ya hao wote waliochaguliwa na huyo mdada ambae hajaripoti na hata aliepigiwa simu waliosoma darasa moja kozi moja na mwaka mmoja..na wamepata kazi pamoja japo mmoja aliachwa baadae ikawa heri akapigiwa km reserve
 
Cha muhim tu kuwa hakuna mtu anaetakiwa kukata tamaa as long kila mtu yupo katika kutengeneza mafanikio basi hatuna budi kupambana huku na huku na Mungu mwema atatufikisha pale tunapostahil kufika...tuzingatie kujituma, kukimbilia Fursa na kuishi na watu vzuri lakini Cha zaidi na zaidi ni kujikabidhi mikononi mwa Mungu ili kilakitu kifanyike sawasawa na mapenzi yake...Jifunze kushukuru hata ukikosa nafasi wakati huu amini utapata wakati mwingine unaofaa kwaajili yako🙏🏾🙏🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…