Duuh kama wangapi ?ukikadiriaAsee makaranga kama wote hapa kwenye usaili adi nimeingia baridi
Wapi hio kakaAsee makaranga kama wote hapa kwenye usaili adi nimeingia baridi
Wapo kila sehemu sema kuna baadhi ya vikosi haviruhusu kwenda na kombat wanaweza wakawepo usiwajueDuuh kama wangapi ?ukikadiria
daah nawaona kama mazingira yao magumu kuliko majeshi na idara zote za ulinziKwann magereza hukuomba
pole man usife moyo next timeNimepigwa knocked out wanangu.. life is not fair ...miaka 25 tumetolewa watu walikuwa wengi wamechukua mwisho 24
Duuh aiseeWapo kila sehemu sema kuna baadhi ya vikosi haviruhusu kwenda na kombat wanaweza wakawepo usiwajue
Huo mkoa unamambo ya ajabu sana nakumbuka sisi walitukata kwa division mwaka jana tena mkuu wa wilaya ndio alikuwa anakazia alikuwepoNimepigwa knocked out wanangu.. life is not fair ...miaka 25 tumetolewa watu walikuwa wengi wamechukua mwisho 24
priority ilikua division ipi mkuu?Huo mkoa unamambo ya ajabu sana nakumbuka sisi walitukata kwa division mwaka jana tena mkuu wa wilaya ndio alikuwa anakazia alikuwepo
Sema nini hakuna kukata tamaa mzee baba jw wanakuja na polisi nao wanakuja tena bado tuendelee kupambana
Kama mimi sitakuwepo kwenye lipdf bado sitavunjika moyo mkuu nitaendelea kulifukuzia kombe
Kwanzia 4 point 28 hadi 32priority ilikua division ipi mkuu?
Hauna wadau dar ulio omba nao pengine unaweza pata taarifa ?Hivi Dsm usaili ushaanza au unaendeleaa??
Vijana komaeni kwenye kilimo!! Mashamba ya wazee yapo tele kijijini halafu mnayatelekeza na kikimbilia mjini!mtaani kugumu Sana mitaji hatuna walau tupate hizi ajira za magereza tuwasaidie wazazi wetu umri wao nao unazidi kwenda mbele nguvu pia zawaishia ...mungu tubariki vijana wako tufanikiwe kwenye awamu hii ya majeshi ..........
Age limit ya 25 haipunguzi kitu!! Ujue form 4 na form 6 wote hawazidi miaka 22. Waliomnaliza vyuo kibao umri wao hauzidi 25 (Isipokuwa madaktari maana madaktari wote ni vijeba!)Yah mzee hii nayo inapunguza kundi
Mkuu nyumbani Manzese hakuna mashambaVijana komaeni kwenye kilimo!! Mashamba ya wazee yapo tele kijijini halafu mnayatelekeza na kikimbilia mjini!