Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Asee makaranga kama wote hapa kwenye usaili adi nimeingia baridi
 
Nimepigwa knocked out wanangu.. life is not fair ...miaka 25 tumetolewa watu walikuwa wengi wamechukua mwisho 24
Huo mkoa unamambo ya ajabu sana nakumbuka sisi walitukata kwa division mwaka jana tena mkuu wa wilaya ndio alikuwa anakazia alikuwepo

Sema nini hakuna kukata tamaa mzee baba jw wanakuja na polisi nao wanakuja tena bado tuendelee kupambana

Kama mimi sitakuwepo kwenye lipdf bado sitavunjika moyo mkuu nitaendelea kulifukuzia kombe
 
priority ilikua division ipi mkuu?
 
mtaani kugumu Sana mitaji hatuna walau tupate hizi ajira za magereza tuwasaidie wazazi wetu umri wao nao unazidi kwenda mbele nguvu pia zawaishia ...mungu tubariki vijana wako tufanikiwe kwenye awamu hii ya majeshi ..........
Vijana komaeni kwenye kilimo!! Mashamba ya wazee yapo tele kijijini halafu mnayatelekeza na kikimbilia mjini!
 
Back
Top Bottom