SHT
Senior Member
- Jun 14, 2022
- 132
- 102
Naona kijana una Morali ya kutoshaLeta ronja , leta ronja tukale doso na mabio. Nishakunywa maji mengi sana hapa nasubiri kibogi nimwage moto nikapige mazaina zaina ya kutosha.
Na ufupi wangu huu jeshi pekee la kutokea ni JW tu ,tena mungu si athuman nile ukadeti.
Sema wakuu mkiwa mnapata muwe mnatuaga msiwe mnaondoka kama mshale tu kimya kimya.