Msaada interview za Jeshi la Magereza

Naona kijana una Morali ya kutosha
 
Kutakuwa na kipengele cha wale wenye ujuzi kama wa veta ila sio lazima upitie jakata sa sijui kama ni kweli japo mwaka jana hao watu waliwachukua
Inawezekana nikapata cheti cha veta mana ufundi rangi ni fani yangu ila sijasomea veta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…