Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwa uzoefu wangu nilio uwona, majina yakishafika ngazi ya mkoa, wazalendo waliokizi vigezo vyao upigiwa simu kuripoti kwenye vituo husika.
Baada ya kufika kambini kuna mkeka mwengine ambao utatumika kuhakiki walengwa wao waliofika.
Ila lolote linaweza kutoka,ila utaratibu sikuizi wamebadirisa kidogo,maana nilienda kujiandikisha makutupora makao huu ndio utaratibu wanao tumia.
 
Makao makuuu ya magereza iko makutopora?? Sio msalato barabara ya Arusha ......wamemaliza juz majina niliona yako PDF
 
Hapana,makao makuu hayapo uko,ila nilikua naelezea kwa uzoefu wangu,mfano wa usaili unaoendelea makutupola,hawakutoa PDF...walikua wanapiga simu tu
 
Ngoja tusuburi kesho,wazalendo watatupa mrejesho,ila kwa usaili wa special course makao walikua wanapiga simu,na wanaamini simu kushinda pdf walizokua nazo,maana ukitokea mkanganyiko baadhi ya wadau walipigiwa simu ila kwenye mkeka wao majina hayakuepo,walichokifanya ulikua unaonyesha namba iliokupigia,then unaingia kuandikisha.
Tusuburi magereza,tuone watatumia mfumo gani.
Cha muhimu ni kutunza damu na kula karoti kwa wingi maana macho yanawatemaga wazalendo wengi.
 
kupunguza matumizi ya simu katika giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…