Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini wapige simu wanashindwa ku upload mzigo auNimepigiwa simu mkuu
Ww una elimu ganNimepigiwa simu mkuu
Uliomba kama form 4 au kama mwenye fani?Form four na certificate ya enrolled Nurse
Umeombea na ujuzi fulani au?Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhari.
utaulizwa maswali ya nurse na ya kawaida 2 ya kiusalama.Form four na certificate ya enrolled Nurse