chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Hicho ni kipindi cha uzalendo kijana,katika kipindi hicho msubiri vipimo nasubiri wenzenu wanotakiwa kuongezeka...Hadi leo magereza kozi haijaanza, tupo tu chuoni tunakula fatiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ni kipindi cha uzalendo kijana,katika kipindi hicho msubiri vipimo nasubiri wenzenu wanotakiwa kuongezeka...Hadi leo magereza kozi haijaanza, tupo tu chuoni tunakula fatiki
Wataongeza tena watu mkuu ...Ina maana watarudi ?Hicho ni kipindi cha uzalendo kijana,katika kipindi hicho msubiri vipimo nasubiri wenzenu wanotakiwa kuongezeka...
Sio kurudi ,...Wataongeza tena watu mkuu ...Ina maana watarudi ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mumeruhusuwa kutumia simuHadi leo magereza kozi haijaanza, tupo tu chuoni tunakula fatiki
Daaah mwanangu unatupa moyo kumbe inawezekana eti kwenda kozi [emoji2]Hadi leo magereza kozi haijaanza, tupo tu chuoni tunakula fatiki
Simu tunatumia ila bwenini tu, marufuku kuzunguka nayo maeneo mengineMumeruhusuwa kutumia simu
Mkuu huko mnaenda na ma ntranka Yale ya chuma au ?Simu tunatumia ila bwenini tu, marufuku kuzunguka nayo maeneo mengine
Tranka lolote ulilonalo ila sio lazima, nguo za kiraia tulikua tunashinda nazo ila tumepewa kombati kuanzia juzi, ko tunavaa combat isipokuwa kweny mchakamchaka na kwenye disco la usikuMkuu huko mnaenda na ma ntranka Yale ya chuma au ?
Na mnaenda vipara mmenyoa ?
Na mnashindia nguo za kiraia ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hadi raha [emoji1787]Tranka lolote ulilonalo ila sio lazima, nguo za kiraia tulikua tunashinda nazo ila tumepewa kombati kuanzia juzi, ko tunavaa combat isipokuwa kweny mchakamchaka na kwenye disco la usiku
Vipara huku labda unyoe mwenyewe tu ila wenyewe wanataka unyoe brash tu
Hauna lonja yoyote mkuuTranka lolote ulilonalo ila sio lazima, nguo za kiraia tulikua tunashinda nazo ila tumepewa kombati kuanzia juzi, ko tunavaa combat isipokuwa kweny mchakamchaka na kwenye disco la usiku
Vipara huku labda unyoe mwenyewe tu ila wenyewe wanataka unyoe brash tu
Bila tranka hapo mtaanza ibiana pesa au simuTranka lolote ulilonalo ila sio lazima, nguo za kiraia tulikua tunashinda nazo ila tumepewa kombati kuanzia juzi, ko tunavaa combat isipokuwa kweny mchakamchaka na kwenye disco la usiku
Vipara huku labda unyoe mwenyewe tu ila wenyewe wanataka unyoe brash tu
Yani mimi kwa nlivosota Street nkienda depo ata kicheichei Avue mbele yangu sidindiii yan niharbu kazi nirud tena uraianBila tranka hapo mtaanza ibiana pesa au simu
Kuna wadau washaanza kusimamisha minazi huko ? [emoji3]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Combat, Zile Kama za MGAMBO, vipi baridi yake Nguvu ya Nyani Bado yupo!?Tranka lolote ulilonalo ila sio lazima, nguo za kiraia tulikua tunashinda nazo ila tumepewa kombati kuanzia juzi, ko tunavaa combat isipokuwa kweny mchakamchaka na kwenye disco la usiku
Vipara huku labda unyoe mwenyewe tu ila wenyewe wanataka unyoe brash tu
Mamaee nitakuwa mtiifu kupitiliza [emoji1787][emoji1787]Yani mimi kwa nlivosota Street nkienda depo ata kicheichei Avue mbele yangu sidindiii yan niharbu kazi nirud tena uraian
Siku nkilipata gape la kwenda depo yoyote huo unaa ntaofanya anaejua ni Mungu
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Sie msata kipind cha uzalendo kila ijumaa mnaruka debe na intake yetu ilikua ya kipekee sana,.had band ya ruvu jkt walikuwepo full live band jkt n rahaTranka lolote ulilonalo ila sio lazima, nguo za kiraia tulikua tunashinda nazo ila tumepewa kombati kuanzia juzi, ko tunavaa combat isipokuwa kweny mchakamchaka na kwenye disco la usiku
Vipara huku labda unyoe mwenyewe tu ila wenyewe wanataka unyoe brash tu
Minazi inasimamishwa kama kawa, hata juzi kuna muhuni kapiga show pembeni ya uwanja wa damu kwenye Disco la usiku.Bila tranka hapo mtaanza ibiana pesa au simu
Kuna wadau washaanza kusimamisha minazi huko ? [emoji3]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Combat rangi kama ile khaki ya polisi, huyo nguvu ya nyani bado sijamfahamu, btw Bado maafande wengi hatujawafahamu kwsbb kozi Bado haijafunguliwaCombat, Zile Kama za MGAMBO, vipi baridi yake Nguvu ya Nyani Bado yupo!?
[emoji3][emoji3][emoji3]mie nitakuwa mtiifu nisije haribu kazi bure majuto yakawa mjukuuMinazi inasimamishwa kama kawa, hata juzi kuna muhuni kapiga show pembeni ya uwanja wa damu kwenye Disco la usiku.