Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Kwanzia kesho au kesho kutwa natabiri lazima mtarudia huu uzi kusoma komenti ya mwanzo kabisa namba moja au zitaanzishwa nyuzi mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini boss?Kwanzia kesho au kesho kutwa natabiri lazima mtarudia huu uzi kusoma komenti ya mwanzo kabisa namba moja au zitaanzishwa nyuzi mpya
Watu watapigiwa simu waende kwenye usaili so lazma watafute nondoKwanini boss?
Ahaa tuendelee kupeana taarifaWatu watapigiwa simu waende kwenye usaili so lazma watafute nondo
Hawajaanza bado jamaa alienda amerudi mimi safari hii najilipua kama wataniua wakaniueNaskia Wameanza usahili leo pamoja na wale 800 walosamehewa uasi ambao wapo mafinga jkt
Liwalo na liwe [emoji3]Hawajaanza bado jamaa alienda amerudi mimi safari hii najilipua kama wataniua wakaniue
Baba liwalo na liwe yani kama wataniua wakaniue navamia bogiLiwalo na liwe [emoji3]
Mara baada ya kula doso na kuulizwa maswali taarifa umepata wapi unaskia sauti " liachane hilo afande mtaliua ", mara mwengine afande rusha taulo paap anatokea mmoja ukimtizama kwenye shati ana cheo cha kola rangi nyekundu na nyota kazaa begani hapo anakukuta ulikuwa unakula doso la kunyanyua mbingu anakwambia haya amka nenda pale utawala kajiandikishe uungane na wenzako wapo angani watakuelekeza mengine[emoji1787][emoji1787]Baba liwalo na liwe yani kama wataniua wakaniue navamia bogi
Ndo ivo baba lazima uumie kwanza utasikia baba yachukue haya yalovamia yakatundike utawalaMara baada ya kula doso na kuulizwa maswali taarifa umepata wapi unaskia sauti " liachane hilo afande mtaliua ", mara mwengine afande rusha taulo paap anatokea mmoja ukimtizama kwenye shati ana cheo cha kola rangi nyekundu na nyota kazaa begani hapo anakukuta ulikuwa unakula doso la kunyanyua mbingu anakwambia haya amka nenda pale utawala kajiandikishe uungane na wenzako wapo angani watakuelekeza mengine[emoji1787][emoji1787]
Inspirational 👊Mara baada ya kula doso na kuulizwa maswali taarifa umepata wapi unaskia sauti " liachane hilo afande mtaliua ", mara mwengine afande rusha taulo paap anatokea mmoja ukimtizama kwenye shati ana cheo cha kola rangi nyekundu na nyota kazaa begani hapo anakukuta ulikuwa unakula doso la kunyanyua mbingu anakwambia haya amka nenda pale utawala kajiandikishe uungane na wenzako wapo angani watakuelekeza mengine[emoji1787][emoji1787]
Kunywa maji mengi shona tuliaaDaah tushatoka interview magereza tusubiri majibu sasa
Mkuu nipe info umeulizwaje maana kuna ndugu yangu amepigiwa simu aende kesho interviewDaah tushatoka interview magereza tusubiri majibu sasa
Wazi afandeKunywa maji mengi shona tuliaa
Soma uzi mwanzo kabisa ni yaleyale tu hakuna jipya na wala asiweze kawaida tu Mungu akamsimamie . siwezi kukwambia kuhusu mimi si unajua mambo ya privacyMkuu nipe info umeulizwaje maana kuna ndugu yangu amepigiwa simu aende kesho interview
Soma uzi mwanzo kabisa ni yaleyale tu hakuna jipya .
Maana siku hizi unaweza taja ulichoulizwa kumbe aliyekuuliza yupo humu humu [emoji3] siku hizi nimeamua tu niwe makiniNgoja nisend link asije kufa kibudu
Majina yametoka liniDaah tushatoka interview magereza tusubiri majibu sasa
Bro kwahiyo hawa ni wenye fani wanaopigiwa simu je wale wasionafani inakuwajeKunywa maji mengi shona tuliaa