Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwanzia kesho au kesho kutwa natabiri lazima mtarudia huu uzi kusoma komenti ya mwanzo kabisa namba moja au zitaanzishwa nyuzi mpya
 
Baba liwalo na liwe yani kama wataniua wakaniue navamia bogi
Mara baada ya kula doso na kuulizwa maswali taarifa umepata wapi unaskia sauti " liachane hilo afande mtaliua ", mara mwengine afande rusha taulo paap anatokea mmoja ukimtizama kwenye shati ana cheo cha kola rangi nyekundu na nyota kazaa begani hapo anakukuta ulikuwa unakula doso la kunyanyua mbingu anakwambia haya amka nenda pale utawala kajiandikishe uungane na wenzako wapo angani watakuelekeza mengine[emoji1787][emoji1787]
 
Ndo ivo baba lazima uumie kwanza utasikia baba yachukue haya yalovamia yakatundike utawala
 
Mara baada ya kula doso na kuulizwa maswali taarifa umepata wapi unaskia sauti " liachane hilo afande mtaliua ", mara mwengine afande rusha taulo paap anatokea mmoja ukimtizama kwenye shati ana cheo cha kola rangi nyekundu na nyota kazaa begani hapo anakukuta ulikuwa unakula doso la kunyanyua mbingu anakwambia haya amka nenda pale utawala kajiandikishe uungane na wenzako wapo angani watakuelekeza mengine[emoji1787][emoji1787]
Inspirational 👊
 
Back
Top Bottom